Wazazi Kaz tunayo aiseeMzee anadai hawezi nyofoka lazima apelekewe moto
Na Wizi na uporaji wote alioufanya anahofu nini wakati ni jitu tajiri?Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo ma faida.
Mzee anadai hawezi nyofoka lazima apelekewe moto, sasa anaomba msaada nini tufanye kumsuru, na Mzee mwenyewe ni konyo alivyopanda juu alipanda na ngazi yake hakutaka wengine wapande Ili nyakati kama hizo waimbe palapanda pamoja.
Wadau mwenye uzoefu anisaidie kuhusu mrungura usijali tupo pamoja.
Sifi leo! Mwambie babako akaombe kazi DP World kwani hadi sasa bado hawajapata Mkurugenzi Mkuu hapa TZ!Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo ma faida.