Nisamehe Rais wangu Magufuli

Nisamehe Rais wangu Magufuli

Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.

Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.

Mods Naomba huu uzi usichanganywe na uzi mwingine. Najua tuko wengi ambao tunamkumbuka Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa mema yake. Angalau tutiane faraja. Ahsante
Sukuma gang bado anaomboleza kifo cha Mungu wake. Kama vipi akazikwe naye Chato.
 
kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Sio kweli, JPM alikua msimamizi mzuri wa shughuli ila UPENDO haukuwahi kuwa sehemu ya maisha yake. Jamaa alikua na roho mbaya sana, alichukia watu, alijiona yeye ana akili kuliko waTanzania wote.

Mtu mwenye chuki hawezi kuwa na mapenzi na taifa lake. Yale aliyokua anafanya ya kufoka foka na kutumbua ilikua kupata umaarufu na kuogopwa ila sio sababu ya kuipenda Tanzania.

Udhaifu wa Mama samia haumfanyi JPM kuwa bora, atabaki kuwa Rais katili kuwahi tokea.
 
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.

Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.

Mods Naomba huu uzi usichanganywe na uzi mwingine. Najua tuko wengi ambao tunamkumbuka Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa mema yake. Angalau tutiane faraja. Ahsante
Kwa vile wewe siyo mwana familia zizopoteza wapendwa wao kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Akwilina, na wale wa kwenye viroba, basi una kila sababu ya kumshangilia Dikteta Magufuli.

Ila HAKIMU wa kweli alitenda alipompiga Magufuli fimbo kali kama aliyompiga Farao tarehe 17/ 03/ 21. Endelea kuoza huko uliko Magufuli
 
Propaganda za Kindergarten hizii 😅😅😆🙌 ndio kusema sshv watu Hawafi, watu hawapotei!?

Muda mwingine ficheni chuki zenu za kiduwanzi hzo.
 
Mwamba amejaza picha zake kwa simu yangu.
Chukua na hii hapa, muone alivyojianika kwenye mawe kama kenge
20240526_074435.jpg
 
Sio kweli, JPM alikua msimamizi mzuri wa shughuli ila UPENDO haukuwahi kuwa sehemu ya maisha yake. Jamaa alikua na roho mbaya sana, alichukia watu, alijiona yeye ana akili kuliko waTanzania wote.

Mtu mwenye chuki hawezi kuwa na mapenzi na taifa lake. Yale aliyokua anafanya ya kufoka foka na kutumbua ilikua kupata umaarufu na kuogopwa ila sio sababu ya kuipenda Tanzania.

Udhaifu wa Mama samia haumfanyi JPM kuwa bora, atabaki kuwa Rais katili kuwahi tokea.
Hayo yote unayoeleza watu wameyasikia tokea Magufuli akiwa hai ila bado watu wanamkumbuka Magufuli. Athari za mapungufu ya Samia ziko wazi na zinawagusa watu kiuhalisia kuliko mengi yaliyoelezwa kuhusu Magufuli.
 
Propaganda za Kindergarten hizii 😅😅😆🙌 ndio kusema sshv watu Hawafi, watu hawapotei!?

Muda mwingine ficheni chuki zenu za kiduwanzi hzo.
Eti propaganda? Kama wewe unamuabudu yule mwendazake kiasi huamini kama aliwaua akina Ben Saanane basi jiulize kwa nini Tundu Lissu aliyepigwa risasi 16 YUKO HAI wakati aliye watuma akina Makonda na kundi lake kumuua Lissu yuko Chato amefukiwa kaburini anaoza
 
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.

Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.

Mods Naomba huu uzi usichanganywe na uzi mwingine. Najua tuko wengi ambao tunamkumbuka Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa mema yake. Angalau tutiane faraja. Ahsante
Pole.Mliambiwa mtegemea cha nduguye hufa maskini.Endeleeni kuomboleza lakini maisha yanasonga mbele.
 
Kwa vile wewe siyo mwana familia zizopoteza wapendwa wao kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Akwilina, na wale wa kwenye viroba, basi una kila sababu ya kumshangilia Dikteta Magufuli.

Ila HAKIMU wa kweli alitenda alipompiga Magufuli fimbo kali kama aliyompiga Farao tarehe 17/ 03/ 21. Endelea kuoza huko uliko Magufuli
Bado watu wanamkumbuka Magufuli, hao waliyopoteza wapendwa wao ni wazi watatumia hisia hivyo acha tu waendelee kumchukia Magufuli kama ambavyo waliyotendwa na utawala huu wa Samia watakavyotumia hisia kumzungumzia Samia.
 
Back
Top Bottom