Nisamehe Rais wangu Magufuli

Nisamehe Rais wangu Magufuli

Eti propaganda? Kama wewe unamuabudu yule mwendazake kiasi huamini kama aliwaua akina Ben Saanane basi jiulize kwa nini Tundu Lissu aliyepigwa risasi 16 YUKO HAI wakati aliye watuma akina Makonda na kundi lake kumuua Lissu yuko Chato amefukiwa kaburini anaoza
Ukiskia magufuli anatajwa mkund unakuwasha au!?
Kama humpendi pita kishoto
 
Hayo yote unayoeleza watu wameyasikia tokea Magufuli akiwa hai ila bado watu wanamkumbuka Magufuli. Athari za mapungufu ya Samia ziko wazi na zinawagusa watu kiuhalisia kuliko mengi yaliyoelezwa kuhusu Magufuli.
Wewe pimbi hata ungekesha JF kumsafisha yule MUUAJI nakuhakikishia HASAFISHIKI.

Achana na Rais Samia, hata kama ana mapungufu Milioni 100, lakini nchi imetulia mikononi mwake. Hilo DHALIMU lenu manaloliabudu LILIKATALIWA na Mungu mwenyewe manamo 17/ 03/ 21.

Hata Familia yake chini ya Mama Janet imejisikia ahueni, ila mijinga humu bado imamuabudu
 
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.

Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.

Mods Naomba huu uzi usichanganywe na uzi mwingine. Najua tuko wengi ambao tunamkumbuka Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa mema yake. Angalau tutiane faraja. Ahsante
Mda na wakati utaamua
 
Ukiskia magufuli anatajwa mkund unakuwasha au!?
Kama humpendi pita kishoto
Nenda kwa basha wako kama unawashwa. Humu JF hakuna biashara ya ushoga.

Nyinyi wapumbavu mnaomuabudu Magufuli kama mungu wenu hatuwezi kuwaacha muandike masifa ya uwongo. Mukiandika PUMBA zenu tunajibu
 
Wewe pimbi hata ungekesha JF kumsafisha yule MUUAJI nakuhakikishia HASAFISHIKI.

Achana na Rais Samia, hata kama ana mapungufu Milioni 100, lakini nchi imetulia mikononi mwake. Hilo DHALIMU lenu manaloliabudu LILIKATALIWA na Mungu mwenyewe manamo 17/ 03/ 21.

Hata Familia yake chini ya Mama Janet imejisikia ahueni, ila mijinga humu bado imamuabudu
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu!
 
Nenda kwa basha wako kama unawashwa. Humu JF hakuna biashara ya ushoga.

Nyinyi wapumbavu mnaomuabudu Magufuli kama mungu wenu hatuwezi kuwaacha muandike masifa ya uwongo. Mukiandika PUMBA zenu tunajibu
Wewe malaya itakuwa magufuli hakukulipa hela yako
 
Magufuri hakuwa na maajabu sana ila maboko anayotoa Kizimkazi yanamfanya aonekane alikuwa lulu

Ila umenikumbusha hiyo Ngoma ya Msechu imenibidi kuitafuta kwenye playlist yangu hakika mkwaju ulikuwa hit sana
 
Chukua na hii hapa, muone alivyojianika kwenye mawe kama kenge
Kwai
Wewe pimbi hata ungekesha JF kumsafisha yule MUUAJI nakuhakikishia HASAFISHIKI.

Achana na Rais Samia, hata kama ana mapungufu Milioni 100, lakini nchi imetulia mikononi mwake. Hilo DHALIMU lenu manaloliabudu LILIKATALIWA na Mungu mwenyewe manamo 17/ 03/ 21.

Hata Familia yake chini ya Mama Janet imejisikia ahueni, ila mijinga humu bado imamuabudu
Hakuna anayemsafisha hapa bali nyinyi ndio mnatumia nguvu kumchafua na kushindana na marehemu, Watu wenyewe wanamkumbuka Magufuli na Samia hadi leo hawajamkubali sasa nani amsafishe Magufuli?

Kwani nchi ilikuwa kwenye vita hii hadi useme imetulia? Labda kama unazungumzia hao wakina Kikwete,January, Nape n.k waliyojiona hii nchi ni mali yao.

Samia sio tu mapungufu bali ni kama hakuna rais kabisa.
 
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.

Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Mzalendo wa kweli itachukua miaka 1000 kumpata mwingine aliongoza kwa mifano na vitendo!
 
Attachments

  • 20240115_212729.jpg
    20240115_212729.jpg
    60.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom