SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 1,134
- 1,905
Kwko sio kwanguJiwe alikua satan killer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwko sio kwanguJiwe alikua satan killer
Sukuma gang bado anaomboleza kifo cha Mungu wake. Kama vipi akazikwe naye Chato.Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Mods Naomba huu uzi usichanganywe na uzi mwingine. Najua tuko wengi ambao tunamkumbuka Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa mema yake. Angalau tutiane faraja. Ahsante
Sukuma Gang ni jitu kubwa kwhyo tulieni tu nyie wachumba.Sukuma gang bado yuko msibani. Kama vipi akazikwe naye Chato.
Sio kweli, JPM alikua msimamizi mzuri wa shughuli ila UPENDO haukuwahi kuwa sehemu ya maisha yake. Jamaa alikua na roho mbaya sana, alichukia watu, alijiona yeye ana akili kuliko waTanzania wote.kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Ndio bora huyo huyo maana hakuwa akiingia barabarani na kuanza kuuwa tu watu hivyo bora huyo killer.Huyo killer
Kwa vile wewe siyo mwana familia zizopoteza wapendwa wao kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Akwilina, na wale wa kwenye viroba, basi una kila sababu ya kumshangilia Dikteta Magufuli.Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Mods Naomba huu uzi usichanganywe na uzi mwingine. Najua tuko wengi ambao tunamkumbuka Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa mema yake. Angalau tutiane faraja. Ahsante
Ukisikia Magufuli anatajwa unakasirika eh? Kwanini sasa?Sukuma gang bado anaomboleza kifo cha Mungu wake. Kama vipi akazikwe naye Chato.
Propaganda za Kindergarten hizii 😅😅😆🙌 ndio kusema sshv watu Hawafi, watu hawapotei!?Kwa vile wewe siyo mwana familia zizopoteza wapendwa wao kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Akwilina, na wale wa kwenye viroba, basi una kila sababu ya kumshangilia Dikteta Magufuli.
Ila HAKIMU wa kweli alitenda alipompiga Magufuli fimbo kali kama aliyompiga Farao tarehe 17/ 03/ 21. Endelea kuoza huko uliko Magufuli
Chukua na hii hapa, muone alivyojianika kwenye mawe kama kengeMwamba amejaza picha zake kwa simu yangu.
Ww mbona haujaenda kuzikwa na bibi zako huko nanjilinji!?Kazikwe nae chato.
Kazi ni kipimo cha UTU
Hayo yote unayoeleza watu wameyasikia tokea Magufuli akiwa hai ila bado watu wanamkumbuka Magufuli. Athari za mapungufu ya Samia ziko wazi na zinawagusa watu kiuhalisia kuliko mengi yaliyoelezwa kuhusu Magufuli.Sio kweli, JPM alikua msimamizi mzuri wa shughuli ila UPENDO haukuwahi kuwa sehemu ya maisha yake. Jamaa alikua na roho mbaya sana, alichukia watu, alijiona yeye ana akili kuliko waTanzania wote.
Mtu mwenye chuki hawezi kuwa na mapenzi na taifa lake. Yale aliyokua anafanya ya kufoka foka na kutumbua ilikua kupata umaarufu na kuogopwa ila sio sababu ya kuipenda Tanzania.
Udhaifu wa Mama samia haumfanyi JPM kuwa bora, atabaki kuwa Rais katili kuwahi tokea.
Naaam alikuwa mtu sana hata alivopose tu yani 🙌🙌❤Chukua na hii hapa, muone alivyojianika kwenye mawe kama kenge
Eti propaganda? Kama wewe unamuabudu yule mwendazake kiasi huamini kama aliwaua akina Ben Saanane basi jiulize kwa nini Tundu Lissu aliyepigwa risasi 16 YUKO HAI wakati aliye watuma akina Makonda na kundi lake kumuua Lissu yuko Chato amefukiwa kaburini anaozaPropaganda za Kindergarten hizii 😅😅😆🙌 ndio kusema sshv watu Hawafi, watu hawapotei!?
Muda mwingine ficheni chuki zenu za kiduwanzi hzo.
Pole.Mliambiwa mtegemea cha nduguye hufa maskini.Endeleeni kuomboleza lakini maisha yanasonga mbele.Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Mods Naomba huu uzi usichanganywe na uzi mwingine. Najua tuko wengi ambao tunamkumbuka Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa mema yake. Angalau tutiane faraja. Ahsante
Bado watu wanamkumbuka Magufuli, hao waliyopoteza wapendwa wao ni wazi watatumia hisia hivyo acha tu waendelee kumchukia Magufuli kama ambavyo waliyotendwa na utawala huu wa Samia watakavyotumia hisia kumzungumzia Samia.Kwa vile wewe siyo mwana familia zizopoteza wapendwa wao kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Akwilina, na wale wa kwenye viroba, basi una kila sababu ya kumshangilia Dikteta Magufuli.
Ila HAKIMU wa kweli alitenda alipompiga Magufuli fimbo kali kama aliyompiga Farao tarehe 17/ 03/ 21. Endelea kuoza huko uliko Magufuli