Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

Nimeshangaa Sana sijui aliyewaalika ni nani? Huyu Passion Java juzi tu hapa alikuwa crossdresser na kupiga mziki kwenye klabu za usiku. Leo kaja Kama Nabii. Tanzania tusiwe watu wakupokea kila uchafu, tuwe waaangalifu.
Sauli alikuwa muuwaji lakini Leo tunadima nyaraka zake...unataka kusema kuwa msanii ni tiketi ya kutokuwa Mtumishi wa Mungu.
 
Mornings.
Screenshot_20231210_080039_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom