Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Siku hizi shati la kitenge na suruali ya sufi unakuwa nabii
Brother!Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa
Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Mkuu huenda huelewi ulichokiandika, Biblia hauijawahi na wala haitotokea kuwa kitabu cha hadithi.Anakupa nondo gani zaidi yakusimulia hadithi zilizoandikwa Kwenye bibliaa mkuu.
Wajinga ndio waliwao..
we waache na ujinga wao watakua kama watoto waliodhihaki kipala cha Nabii Elisha unajua nn kiliwatokea ?Brother!
Watanzania wengi wanaowaponda manabii hawa;Passion Java na Papa Lovy Elias Longomba hawafuatilii mafundisho yao kwa kina wanaangalia tu muonekano.
sjawai kumskliza ila nilshangaa kumuona kwenye picha sku wanashuka airport akiw kachora tatooHata simjui tupia hata picha yake labda naangaliaga clips zake ila ndo nkawa simjui jina
Wabongo wengi tunaangalia mambo juu juu sana yaani kama ni vitabu sisi rangi ya jalada tu inatutosha kusema chochote tusichokijua juu ya kitamu kama tumekisoma hivi...uvivu wa kufuatilia mambo na ugumu wa kuingiza maarifa mapya ni zaidi ya janga....sjawai kumskliza ila nilshangaa kumuona kwenye picha sku wanashuka airport akiw kachora tatoo
Duh, nimecheka....Mchunga wajinga[emoji2088][emoji2088]
Baba ni Mkongo, Mama ni Mkenya, kakulia Kenya kwa Mama ake, Baba ake alifariki zamani, Baba ake alikua Kaka wa Awilo longomba, Awilo ni Baba ake mdogo, alikua na Kaka yake, ambaye ndo alikua na kipaji kikubwa cha Muziki kuliko Lovy....!Mkongomani ila alihamia Marekani ndio akawa nabii. Alikuwa anaishia Kenya na kuimba muziki, Kama wimbo mmoja ulikuwa inaitwa funguo.
Wamealikwa na Malisa
Baba ni Mkongo, Mama ni Mkenya, kakulia Kenya kwa Mama ake, Baba ake alifariki zamani, Baba ake alikua Kaka wa Awilo longomba, Awilo ni Baba ake mdogo, alikua na Kaka yake, ambaye ndo alikua na kipaji kikubwa cha Muziki kuliko Lovy....!
Nadhani alishafariki.
Hauwi nabii kwa kile unachokiongea jukwaani, unakuwa nabii kwa maisha uliyoyaishi na baada ya kufa wale waliyoyashuhudia maisha yako ndio wanaweza wakasema ya kwamba kweli wewe ulikuwa nabii.
Lakini hizi trakatraka mnazoziita nabii zinawapiga hela tu afu zinaingia mitini, hivi tangu hawa manabii waanze kuja mtu hujajifunza kitu tu, let say umeanza kuwafuatilia 2010 mpaka leo umeshabadilisha manabii wangapi.
Nguvu za kuchukua kwa kalumanzila huwa zinaexpire, usijifihe kwenye kulijua neno la Mungu mtu yeyote anayejua kusoma anatakiwa ajitafutie maarifa, sasa wewe unaweza kusoma biblia afu bado unategemea nabii aje akufundishe, ungekuwa hujui kusoma sawa.
Nabii my foot
ndugu yangu hata mimi Malisa sijawahi kumfatilia lakini Kwa Lovy Namuamini sana
Yupo deep in scripture lakini kwa context ya USA sio Tanzania. Ila nadhani kila mtu ahubiriwe na "manabii" wake otherwise wataleta chaos sio kwa sababu sio true preachers ila hawako compatible na mazingira yetu.
Umesahau na kipini mshambaNaona ana dreads.... ngoja waje walokole pro max watie neno
View attachment 2835044
Hata Yesu walimwambia hana akili na anapepo.
Muonekano wa Mtu usikuchanye Kama wewe kwako vazi la heshima ni suruali na sharti. kuna wengine kwao vazi la heshima ni ngozi kufunika chini tu.
Unakijua kitu kinaitwa Spiritual discernment ?
Tuachane na hayo..
Neno....
Lovy ni Anafundisha namna ya kumjua Mungu na kuwa na mahusiano naye wewe binafsi.
Na kuelewa Ufalme wa nuru unavyofanya kazi.
Ukiwa msomaji wa Biblia utamuelewa Lovy vizuri.
Spiritual Gift unazijua ?
Karama tisa zilizotajwa kwenye 1Wakorintho 12:7
anazielezea moja baada ya nyingine na zipoje na unazipataje.
Fundi wa mifano kwenye mafundisho yake.
dream interpretation 🔥
Types of vision 🔥
Kasome kwenye biblia utaona zamani kipindi cha Nabii samweli kulikua na chuo cha Manabii.
Watu wanaenda kusoma.
Kwahiyo ukitaka shule ya unabii Tembea na Lovy Elias kwa makini na akili.
Naona kipini puani au macho yangu mabovu.