Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

Hauwi nabii kwa kile unachokiongea jukwaani, unakuwa nabii kwa maisha uliyoyaishi na baada ya kufa wale waliyoyashuhudia maisha yako ndio wanaweza wakasema ya kwamba kweli wewe ulikuwa nabii.
Lakini hizi trakatraka mnazoziita nabii zinawapiga hela tu afu zinaingia mitini, hivi tangu hawa manabii waanze kuja mtu hujajifunza kitu tu, let say umeanza kuwafuatilia 2010 mpaka leo umeshabadilisha manabii wangapi.
Nguvu za kuchukua kwa kalumanzila huwa zinaexpire, usijifihe kwenye kulijua neno la Mungu mtu yeyote anayejua kusoma anatakiwa ajitafutie maarifa, sasa wewe unaweza kusoma biblia afu bado unategemea nabii aje akufundishe, ungekuwa hujui kusoma sawa.
Nabii my foot
 
Mambo ya Imani ni magumu sana kama watu waliambiwa wafunge wakifa wataenda kumuona Yesu sina neno zaidi ya kuendelea kushangaa kila jambo jipya linalotokea wengine walienda kunywa kikombe cha Babu Loliondo na wengine walitaka kusafiri bila Passport waliishia kufukuzwa tu...
 
Yaani nimeshangaa kwakweli, kuna watu wapimwe akili aisee
Hata Yesu walimwambia hana akili na anapepo.
Muonekano wa Mtu usikuchanganye Kama wewe kwako vazi la heshima ni suruali na sharti. kuna wengine kwao vazi la heshima ni ngozi kufunika chini tu.
 
Ni vitu gani vimekuthibitishia kuwa ni nabii?
Unakijua kitu kinaitwa Spiritual discernment ?
Tuachane na hayo..

Neno....
Lovy ni Anafundisha namna ya kumjua Mungu na kuwa na mahusiano naye wewe binafsi.
Na kuelewa Ufalme wa nuru unavyofanya kazi.

Ukiwa msomaji wa Biblia utamuelewa Lovy vizuri.

Spiritual Gift unazijua ?
Karama tisa zilizotajwa kwenye 1Wakorintho 12:7
anazielezea moja baada ya nyingine na zipoje na unazipataje.

Fundi wa mifano kwenye mafundisho yake.
dream interpretation 🔥
Types of vision 🔥

Kasome kwenye biblia utaona zamani kipindi cha Nabii samweli kulikua na chuo cha Manabii.
Watu wanaenda kusoma.

Kwahiyo ukitaka shule ya unabii Tembea na Lovy Elias kwa makini na akili.
 
Back
Top Bottom