Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa

Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Sina tatizo na past yake,tunaokolewa Kwa Neema!

Sasa kwann kaungana na Java?
Java simuelewi jmn,na clear wake
Yesu anirehemu tu.

Ila imeandikwa ,injili itahubiriwa hata Kwa unafiki.....
Duh
 
Hata Samson alikuwa rasta

Samsoni hakuwa rasta Bali alikuwa na nywele nyingi na kwa sababu maalum na hakufuga Rasta Kama fashion. Ok tukubali samsoni anafuga Rasta, hivyo ni sahihi kufuga Rasta kisa samsoni alifuga Rasta?. Samsoni huyohuyo aliishia na kimada , je na sisi tuishi na vimada?.
 
Sina tatizo na past yake,tunaokolewa Kwa Neema!

Sasa kwann kaungana na Java?
Java simuelewi jmn,na clear wake
Yesu anirehemu tu.

Ila imeandikwa ,injili itahubiriwa hata Kwa unafiki.....
Duh
Siku hizi kanisa limevamiwa na wahuni na mbwa mwitu wakali wenye kuvaa ngozi za kondoo. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Hosea 4 :6, wajinga ndio waliwao.
 
Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa

Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Hawa manabii na mitume mashoga yanafuata nini huku?. My people are destroyed by the lack of knowledge Hosea 4 :6
 
Passion Java, boss wa Next level music ya rayvanny ni moja wapo wa charlatan mkubwa. Manabii wa uongo hawa watakokota wengi sana. Mashetani nayo hutenda miujiza wajameni

Mimi nashangaa Sana, mtu Kama Passion Java bado watu wanaamini ni nabii. Yani watu sijui wafwanyweje ili waone ukweli. Shida ukishajiita nabii basi, watu wanakukimbilia bila kuhoji matendo yako
 
Hawa manabii na mitume mashoga yanafuata nini huku?. My people are destroyed by the lack of knowledge Hosea 4 :6

Nimeshangaa Sana sijui aliyewaalika ni nani? Huyu Passion Java juzi tu hapa alikuwa crossdresser na kupiga mziki kwenye klabu za usiku. Leo kaja Kama Nabii. Tanzania tusiwe watu wakupokea kila uchafu, tuwe waaangalifu.
 
Back
Top Bottom