mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Si hua mnasema tunaishi kwa agano jipya sio la kale?Kama samsoni tu. 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si hua mnasema tunaishi kwa agano jipya sio la kale?Kama samsoni tu. 😁
Imeandikwa " haki yenu isipozidi haki ya Mafarisayo kamwe hamtauona ufalme wa Mungu"Ukimjaji muonekano utachoka, Kazaliwa kwenye familia ya wanamusiki.
Mimi pia namfatilia sana.., anakuja Kenya ama Bongo?Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa
Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Tukuoneshe vipini na Heleni za Mfalme Suleimani ?Nabii kajaa Tatoo mwili mzima na vipini puani View attachment 2835072View attachment 2835073
wewe endelea kukiuka, hasira ya Yahweh si unaijua lakini?Bado unasafari ndefu sana ya kuelewa neno la Mungu,
Wewe hujachangamka? au uko na lile la mitumeMambo ni motooo...dunia imechangamka
Hilo hilo mpk kufwaaa..Wewe hujachangamka? au uko na lile la mitume
Mimi pia namfatilia sana.., anakuja Kenya ama Bongo?
Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa
Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Tukuoneshe vipini na Heleni za Mfalme Suleimani ?
Unafikiri Mungu unachukizwa na Waafrika wenye tamaduni za kuvaa ngozi kufunika sehemu za siri tu ????
Hawa mitume na manabii waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu.Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa
Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Kama samsoni tu. 😁
Marekani huyo shati na vitenge wapi na wapi mkuu🤣Siku hizi shati la kitenge na suruali ya sufi unakuwa nabii