Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Nimekupata kabisaa na ndio maana nimenyamaza hunioni napenda style yako ya huku kabisa ndio maana no comment.
 
kama jukwaa la siasa? ambako kuna watu hata Rais Magufuli akiingia toilet utasikia "hatujawahi kuwa na rais bora kuliko huyu, anaingia toi kwa wakati"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vyema " sana ... binafsi Jf imenifanya niweze kuijua vyema Jamii ya watu wetu ilivyo " huko nje watu wengi wana ishi maisha yao " kwa ku-fake maisha " ila uhalisia wa maisha yao upo humu .... huko nje wana jifanya ni watu smart sana "

Ila wakiwa humu ni waropokaji wakubwa " watukanaji ..wazinzi .malaya wa level ya PHD mbaya zaidi sasa kuna wanao fake huko nje mpaka humu wana fake lakini pm zao zimejaa mataka taka yote kiasi kwamba hata mods wakiyapitia wanabaki kuachama midomo wazi (gossshhh si fulani huyu !!!!!)

Hii ndio sababu iliyonifanya niupende huu mtandao kwa sababu watu wako real zaidi " tofauti na jinsi walivyo katika maisha ya kawaida .... ina saidia kuweza kukufanya uielewe vyema jamii yako ... hata ikitokea siku ukisikia mtakatifu fulani kabaka hauwezi kushangaa kwa sababu utakuwa umeshajua kwamba ule utakatifu aliokuwa amejipachika haikuwa rangi yake halisi bali ni fake tu ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana mkuu alikufanya nn uyo dada
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Haha muone ... na kwenye ule uzi wa kusoma Vitabu pia umo .
.
.hebu wape neno basi wanawake wenzio ambao wana sbabishwa wote msemwe vibaya kutokana na ubovu wa tabia zao ilhali mpo ambao mnajitambua .... msiwatetee tu wakati mnaona kwamba tabia zao zinachangia kuiharibu brand yenu ya (MWANAMKE)

mwanamke ni kiumbe muhimu sana ana mchango mkubwa duniani anapaswa kupewa heshima tukufu mwanamke ni (ardhi) so inapotokea wenzenu wachache wakaonyesha kutaka kuipaka matope brand yanu nyie mnao onyesha kujitambua mnapaswa kukemea hilo " kwa sababu tabia zao ambazo sio za kiungwana zinatizidi kuchochea Baadhi ya wanaume walio wengi washindwe kuwapa ile value ambayo mnastahiki

Ndio maana tunaona kuna wimbi kuwa sana la vijana wa kiume wanao wafanya ubaya wanawake like kukataa mimba zao kuwanyanyasa kijinsia kwa sababu hawaitambui heshima ya mwanamke " na sababu za kutoiheshimu hiyo heshima ukiachana na mfumo dume uliopo katika Jamii ya watu wetu wa Africa pia huwa linachangiwa kwa baadhi yenu nyinyi wanawake kuto iheshimu thamani yenu mliyonayo

I'm done

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Ngwee Ngwee Nakazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wadangaji wapo mpk intelligence sasa nkuambie!!!!msione mkadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…