Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Kuna usemi unasema "unachokiandika asilimia 70 kinaonesha wewe ni mtu wa namna gani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly!!! Yaani humu ni chuo cha mafunzo!!!akili kumkichwa ukilemaa umeachwa feri Kuna watu humu wanashinda Siasani tu,intelligence na jf palace ila mabingwa wa PM kwa wadada [emoji2][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]yaani hao wanacheza na PM tu humkuti MMU au chit chat hata siku1

Kuna wengine wana I'd za MMU na hayo majukwa. Mengine[emoji1][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]pia..mnayosema ya great thinkers!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doooh jaman
 
Hahaaa full ku-fake mamaee " ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wadangaji wapo mpk intelligence sasa nkuambie!!!!msione mkadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua najua " ... mtoa mada hajaongelea udangaji tu pekee amezungumzia " Uwezo wa kufikiri kwa baadhi ya members pia "kuwa ni mdogo " na wao wapo humu humu wana vimba kwamba ni ma-great thinkers kwamba inapotokea wakakutana huko " huwa wana discuss utumbo badala ya kuonyesha u-great thinkers wao walionao " .... Imagine kuna jamaa hapo nimeona ametoa mchango wake kwamba kuna manzi alikutana nae humu akawa anamtumia mpaka clip akiwa anafanyana na mchepuko wake (huyo manzi ni mke wa mtu) so waweza kuona kwamba humu pia kuna watu wenye akili za namna gani " !!!

Hahahaaa kwani aliye kwambia kwamba " (MA-INTELLIGENCE HAWA DANGI NI NANI )



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…