Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Hajui kama siku hizi ukahaba upo mitandaoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu tuna stress za maishaaaaaaaaaa atuacheeee
Alikuwa anatafuta kina theresa may au christine lagarde ?? Hahaaa, masikini kakutana na kina demiss ! ( kata mti..panda mti) hahahaa..!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom