Uchaguzi 2020 Nishahamasisha wahitimu 800 tuliokosa ajira tuikatae CCM kwa nguvu zote

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Mpaka sasa nisha hamasidha Graduate 800 na bado naendelea kuhamasisha haiwezekani tukose ajira huku Serikali inajitapa ina pesa, imenunua ndege kwa cash.

Mimi narafiki zangu tunaendela na zoezi na natoa wito kwa Gradute wanao sota mtaani waikatae CCM na si wao tu bali wahamasishe hata ndugu zao nao waikatae CCM, tuikatae hii chama tuwakatae madiwani wao na tuwakatae wabunge pia.

Tuwache ujinga wa kutumiwa kama daraja, muda ni huu.
 
Kweli kama wewe unalandalanda mtaani bila kazi ukiwa umesoma na ukaipigia kura CCM basi utakuwa na tatizo kubwa kichwani na unastahili kuendelea na hali uliyomo.
 
Hata kuandika hujui.

Sijui uligraduate kitu gani, ujinga?
 
Mtu ambaye anajielewa hawezi kuipigia kura CCM , CCM inapendwa na wasiojielewa tu ,Mambumbumbu.
 
Mtu ambaye anajielewa hawezi kuipigia kura Chadema , Chadema inapendwa na majizi tu ,Mambumbumbu.
 
Graduate atayeichagua tena fisiemu ni kilaza wa kimataifa.
 
Utapata vipi Ajira na wakati kuandika kwenyewe unafanya Kwa papara na Una elimu ya juu.. inaelekea wewe sio mtulivu, Waingereza MTU kama wewe wanamwita Careless..pia shame on you na wenzako ambao mmepatiwa elimu ya juu na bado mnalialia kutafutiwa Ajira...nyinyi wasomi ndio mnaotakiwa kutengeneza Ajira ili nchi ifaidike na ubunifu wa akili zenu na sio the other way around.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…