Uchaguzi 2020 Nishahamasisha wahitimu 800 tuliokosa ajira tuikatae CCM kwa nguvu zote

Mpaka sasa umefanya kazi ndogo sana. Ndoo moja ya maji huwezi kuifananisha na bahari. Halafu malipo ya fikra uliyonayo kama hutabadilika utakufa masikini hohehahe. Maana hakuna chama cha siasa cha upinzani kitakachotwaa madaraka nchi hii na kukupa ajira. "Hapa kazi tuu" Tuko uchumi wa kati. Subiri kama wengine wavune uambulie masazo. Na sisi wa chama cha mapinduzi wengi hatujaajiriwa na tunatoa hela za kutosha kufadhili chama.
 
Umesoma hujaelimika,wewe ni hasara kwa taifa,bora wazazi wako fedha wangenywea tungi tu
 
Hao graduates 800 waambie pia wanakunya kwa sababu ya magufuli kupitia mishahara anayowalipa wazazi wao wakiwemo waalimu.
 
nakukumbusha kwamba, wapiga kura tupo Mil 29
 
just be sure you failed on this, huezi kuhamasisha mtu ambae kura anapiga kwa siri, alafu be sure magufuli anapita kwa zaidi ya 80%, kama unabisha rudi apa baada ya uchaguzi na jiandaeni turn over maaana ACT moto walionao si wa nchi hii
 
Ndio Mana unasota,ukashindwa kutumia elimu yako inasubiri ajira.wapiga Kura tupo milioni 12,wewe ndio kwanza una watu 800 ambao huna uhakika nao
We jamaa utafungwa, time imesema wapiga kura milioni 29 wewe unasema 12... All in all ccm sitaipigia kula labda kama shule nilienda kutembea.
 
Unafikiri tatizo la ajira litamalizwa la upinzani ambao hawaongelei chchote zaidi ya hotuba za mihemko.
 
Kabisa kama kuna graduate ataichagua ccm basu huyo hajitambui.
 
Binafsi ccm siwataki tena siwataki tena ccm siwataki tena ccm
 
mkiacha kuitazama ccm na mkajitazama nyie kama nyie uwezo wenu na elimu yenu baada ya miaka kadhaa mtatafutwa na kunyenyekewa na watu zaidi ya 800... kisa mnatoa ajira
Huwa nawaasa wadogo zangu kama ulivyonena hapa wananiangalia wanasema 'anasema nini huyu'. Hata CUF wakichukua dola mleta sledi asidhani kama watakuja na mkate mezani kwake. Life is how you make it. Huwa nawaambia Maisha sio Siasa. Mwanasiasa nae anatafuta ajira muda huu.
 
Mkuu samahani umesomea nn...
 
Graduate unalalamika huna kazi shame on you Badala ya kuhamasisha wenzio mujiajiri unafanya ujinga
 
Wewe furahisha jukwaa tu huna lolote. JPM hana mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…