Uchaguzi 2020 Nishahamasisha wahitimu 800 tuliokosa ajira tuikatae CCM kwa nguvu zote

Hakuna makubaliano ya wenye njaa yanayodumu.. Watu 801 mnatosha kufyeka pori Kilosa mkalima pilipili heka 800 ndani ya miezi 4 hauwezi kuwa hapa tena kuwalaumu ccm.
 
Usifanye maamuzi ya jaziba! Unaweza kuwa kweli umechukizwa na kukosa ajira ila majaribio yako yakakuangamiza jumla.
 
Mimi ni graduate, ntamchagua Magu
 
Wahanga wa ajira,muda Ni huu.
 
Umefanya kazi nzuri mimi japo sio wengi sana nina 100 wa kwangu tayari kazi nimeshamaliza ya uhakika
 
Ndio Mana unasota,ukashindwa kutumia elimu yako inasubiri ajira.wapiga Kura tupo milioni 12,wewe ndio kwanza una watu 800 ambao huna uhakika nao
Hizo hizo 800 wewe zinakuuma nini.
 
Ata mkiungana na matichaz plus graduate wote tz nzima walio kosa kazi kuitoa CCM kwa kura za kwenye sanduku ni kuota mchana kweupe, we jiandae kisaikologia uko nae hadi 2025.
 
Yaani graduate aliyehitimu toka 2015-2020 hana ajira aende akaipigie kura CCM na mgombea wake atakuwa mgonjwa wa akili.
 
Kura ni siri ya mtu.
 
Duh hali ni mbaya sana,kwa uandishi wako hata tukikupa nchi ww utakimbilia uhamishoni tuu.
Maana hao 800 uliohamasisha nadhani hujui kama watapiga kura ama laa.
Kuwa makini sana na wabongo,utahisi wako na ww kipindi cha uhamasishaji ngoja sasa siku ya tukiooo eeeeehhh si unakumbuka yule dada walichomfanyaaa watu waliishia kuandamana mitandaoni na vizuia mabomu vya machozi pipo walitengeneza na kufundishana namna ya kuvitumia sasa ww kaa hapo unalialia ukisubiri uitwe kwenye usaili ili uajiriwe.
Amka dogo acha kulia lia,hata hao walioko madarakani walipambana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…