Uchaguzi 2020 Nishahamasisha wahitimu 800 tuliokosa ajira tuikatae CCM kwa nguvu zote

Ndio Mana unasota,ukashindwa kutumia elimu yako inasubiri ajira.wapiga Kura tupo milioni 12,wewe ndio kwanza una watu 800 ambao huna uhakika nao

Hao milion 12 wanampigia baba ako kura au ....nyie ni mzigo kwa taifa hili
 

Tumia akili wewe..ethiopia ni inchi yenye miundo mbinu kutuzidi wanamidege mikubwa ila wananchi wake wanaongoza kuvamia nchi za watu.....

Baba kutowapa chakula watoto wako hawavai just because una repea nyumba kununua vitu vya anasa huu nao ni upuuzi wa hali ya juu
 
Njoo uwakisanye wengine laki tano wapo huku Moshi alafu uwapeleke kwenye chama chenu, CCM haiajiri graduates, duniani kuna graduates mamilioni na hawana ajira sijui wewe graduate wa chuo gani ambaye unakosa hata common se
 

YAAAANI AKILIZENU NDIO HIZI NN AJIRA
HATA KUJITOLEAAA MSIPATEE KABJSAAA
 
Wote 800 njooni niwape mashamba...
Mwenzenu masterz nimeweka kando nalima ufuta na mapalachichi...

Sina sababu ya kuilaumu ccm kunipa ajira.

Hukusoma ili uajiriwe... umesoma ili ufungue ubongo uishi maisha bora hata bila ajira.

Kama sio mvivu huitaji mtaji kulima... utaanza na eka 2 za kwanza kwa kilimo cha mkono. Next year uko mbele zaidi.

Kama mlizaliwa muhimbili na mwananyamala sintawalaumu[emoji3][emoji3][emoji3]... joking ..no povu pls
 
it's a shame kua umesoma na hujaelimika...unasubiri kuajiriwa graduate mzima...Umeshindwa ht kufundisha tution unabaki unazurura mtaani na kulia lia mitandaoni...I bought my first phone "Samsung C100" back then nikiwa mhitim wa form 6 kwa kula vichwa vya Tutuion...sikua na Mtaji wa pesa wala kua graduate km wewe...Mtaji Ubongo...wapange wanafunzi jioni ule vichwa upate mtaji wa kufanya na Mengine otherwise tafuta mume uolewe.
 
Pambaneni na Hali zenu kunguru nyie wakati mpo chuo si mlikuwa mnajikuta Watoto wa kishua hata hamsomi kwa juhudi heti mnaruka viwanja mwisho wa siku mmegraduate na GPA na hovyo hovyo halafu mnataka ajira.
Endeleeni kuvuna mlichopanda.
Shame on you.
 
Utakuta mmesoma business Sasa mtaajiriwa wap kauzen Nyanya kama mlitaka kuajiriwa kwenye ndege mgesoma upailot

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Njoo uwakisanye wengine laki tano wapo huku Moshi alafu uwapeleke kwenye chama chenu, CCM haiajiri graduates, duniani kuna graduates mamilioni na hawana ajira sijui wewe graduate wa chuo gani ambaye unakosa hata common se


Daaah umemchana mule mule
 
Nguvu ya wengi ni umoja
 
Wanasubiri kuajiliwa na darasa la saba halafu wanalalamika wabunge darasa la saba wasiwepo
 
Punguza povu...unahitaji mtaji gani kua mwalimu wa tution?ww unadhani watu wote walioajiajiri walipewa mtaji?
 
Punguza povu...unahitaji mtaji gani kua mwalimu wa tution?ww unadhani watu wote walioajiajiri walipewa mtaji?
Tuition inategemea mazingira Kijana, Kuna sehemu hata uanzishe tuition bure hakuna mtoto anakuja.

Pia uchumi wa sasa + elimu bure imewalemaza wazazi, ukianzisha tuition wanataka bure au hawalipi maana washaa ambiwa elimu bure.

Sikiliza mpambe wa mashetani, Mimi sio graduate lkn macho yanaona wanacho fanyiwa sio haki.

Ni kweli ajira sio lazima Kama nafasi zimejaa, lkn ilipaswa kutengeneza mazingira rafik ya kujiajir.

Kwanza soko la mazao likiwepo zuri hasa la nje, hakuna mtu atakwambia acha kutafuta ajira kalime, automatic wewe mwenyw utaenda kufuga au kulima.

Leo unaweza kukaa na kuku wa Nyama mwezi mzima unatafuta wateja, huo si upumbv.
 
Kwenye wapigakura mil 29/wapinzani mshavuna 800.ongereni sana,ni atua mojawapo.
 
Hata New York machokoraa wapo.
CityLab University: Understanding Homelessness in America

No government will bring bread onto your tables! Ever!!! Kazi ndio msingi wa maendeleo. Maendeleo hayataki siasa. Kwa hiyo tuache kujenga miundombinu kwa sababu wewe huna kibaba cha unga nyumbani!?. Je, serikali imekupokonya ulichotafuta. Je,umekatwa mikono!?.

Yaani hakuna umbugila kama kuilaumu serikali kwa sababu ya failures zako. Fanya kazi kwa bidii,maarifa na ubunifu pata pesa jenga maisha yako.

Serikali inajenga miundombinu kwa kodi unayolipa. Na ndivyo serikali nyingi zinavyofanya. Kulipa kodi kama kunakukwaza, go & find a tax free haven for you to live freely without contributing towards your country's economy.

Tukiwa humu na anonymous zetu tusijitoe ufahamu. Jenga hoja itakayomsaidia mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…