Uchaguzi 2020 Nishahamasisha wahitimu 800 tuliokosa ajira tuikatae CCM kwa nguvu zote


We bado hujitambui wenzako wanalipwa we naona unabwabwaja
 
Mtu ambaye anajielewa hawezi kuipigia kura Chadema , Chadema inapendwa na majizi tu ,Mambumbumbu.
Chadema wameiba nini? Wana nini wao cha kuiba?
Kama hujui aliyeifisadi nchi mpaka imefika hapa ilipo leo hii ni nani basi una upumbavu na ujinga wa kiwango cha shetani kichwani mwako.
Majizi, majambazi, mafisadi yote yapo ccm, chama kinanuka kila aina ya wizi, ufisadi, kila aina ya sifa mbaya
 
Duh.. mbona lugha Kali hivyo!? Anyways, ukiona mtu ana degree kutoka Taasisi ya elimu ya juu na anasubiria serikali impe Ajira mpe pole... Hakuna mtaji Mkubwa Dunia hii kuliko elimu tena ya juu...
 
Nashauri hizo nguvu na organisation skills unazotumia kuwahamasisha wenzio ungezitumia kuwashauri mkae pamoja na mbuni mbinu za kuwainua kiuchumi, surely katika degree 800 Nina uhakika hamtakosa vichwa 8 (1%) ambao watakuja na brilliant idea itakayowaletea fursa nyie 792. Umoja ni Nguvu.
 
ubarikiwe Sana ,na mm naanza leo hili zoezi
 
We bado hujitambui wenzako wanalipwa we naona unabwabwaja
Hupendi kuambiwa ukweli kijana mi silipwi na mtu yeyote na hakuna anaeweza kunilipa mimi kwa kutrade politics humu.

I'm non-partisan in whatever comment that I scribe in this platform - mi nakupa ukweli tu...and I'm writing this at the comfort of my office as a self made CEO. We kalaga baho unabishana humu ukipewa ukweli unalialia.

Ukiwa masikini usi-trade lawama kwa mtu yeyote hata wazazi wako hawahusiki na kufeli kwako. Mwenyezi Mungu kakupa rasilimali zote unazohitaji ili kuendeleza maisha yako.

MAISHA SIO SIASA. MAISHA NI HALISI.
 
utakuta mjinga kama wewe uko kwenye ajira ndio maana unaharisha hapa
 
Nina wasiwasi kama wewe ni graduate kweli. Hao 800 labda mngekuwa mko kwenye kata moja mumkatae Diwani. Ila hata kama mko jimbo moja kumuangusha tu mbunge ni kazi. Sasa kwa kuwa mmetawanyika nchi nzima effect yenu ni negligible. Magufuli kura zake mwaka huu ni 4,000,000 hadi 5,000,000 kwa hiyo toa hizo 800 na ndugu zao hata 100,000
 
Mtu ambaye anajielewa hawezi kuipigia kura Chadema , Chadema inapendwa na majizi tu ,Mambumbumbu.
Anaejielewa hawezi kuipigia ccm maana inasapot ushoga na hili lilionekana makonda alipoanza kupambana gafla magufuli na maige aliekufa wakamkana
 
utakuta mjinga kama wewe uko kwenye ajira ndio maana unaharisha hapa
Yaani nyie vijana nawashangaa Sana..mna degree za fast tracking ambazo hazifanyi bongo zenu kuchemka, hamna Ajira, na mbaya zaidi mna attitude (tabia) chafu sijawahi ona..Nani ataajiri MTU ambaye Hana lugha ya staha na hapendi kushauriwa?... unethical behaviour+poor education arrogance inawa let down Sana.
 
Wasomi wenye digirii nne nne kama mwakyembe sio??
 
mkiacha kuitazama ccm na mkajitazama nyie kama nyie uwezo wenu na elimu yenu baada ya miaka kadhaa mtatafutwa na kunyenyekewa na watu zaidi ya 800... kisa mnatoa ajira
Hayo yatafanyika baada ya kumaliza uchaguzi Kwanza tuangalie la oktoba
 

Hayo ni mawazo yako finyu binti
 
Chuoni ulienda kusomea ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…