Nishampenda nipeni njia ya kudumu nae

Unaposema kwenye uzi unataka udumu naye, adumu na wewe kwenye kukutomba tu au unamaanisha nini?

Kukaa nae kwenye mahusiano hayo ya ndoa si ni Mungu anapanga.. sijawah kuwa na uhusiano la mwaka jmn
 
Umekosa kazi wewe
Ushauri wa mahusiano Yako unaomba watu wa nje kwamba hujiamini ama akili Yako haijjitosheleza
 
Kukaa nae kwenye mahusiano hayo ya ndoa si ni Mungu anapanga.. sijawah kuwa na uhusiano la mwaka jmn
Ndio maana nikasema mwanaume ndiye anayeamua nani wa kufanya naye maisha, usijidanganye eti kuna njia ya kuuwin moyo wake tena ukijirahisisha hivyo utatombeka sana.

Achana na sisi wanaume kwa unafiki unaweza kusema umempata kumbe anakutumia tu

Mungu atapangaje na wakati tayari mmeamua kufanya dhambi ya uasharati kabla ya ndoa na yeye hafagilii hizo mambo
 
Hata sigawi Mkuu nimejitunza vizuri tu sema kuna huyo mmoja alisema nitamnyonya damu napenda kukulana labda upwiru
Tafuta ufumbuzi wa hilo mkuu, ni tatizo kwako hasa kama huna ndoa.

Una safari ndefu, jiwekee uadimu kidogo kwenye hilo. Me anachotaka kwa Ke ni mbunye, na wewe mbunye ndo hiyo unaipeleka mpaka mwamba anasema upunguze speed πŸ˜€πŸ˜€, sio nzuri kitaalamu hiyo.
 
Hujanielewa mkuu. Sio kwamba wanaovitoa nje wote wako in love. Kuvitoa nje na kufall in love ni tofauti
Hivyo navyokula vinataka vitoke nnje ya mwili nani atanitoa asa
 
Ila bhana mapenzi hayana formula unaweza mpenda yeyote popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…