- Thread starter
- #61
Labda unagawa utamu kirahisi, au unasumbuliwa sana na nyege.
Hata sigawi Mkuu nimejitunza vizuri tu sema kuna huyo mmoja alisema nitamnyonya damu napenda kukulana labda upwiru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda unagawa utamu kirahisi, au unasumbuliwa sana na nyege.
😃Hadi hapa ushafeli mbinu za kudumu nae🤣
Sijazungumza masuala ya ndoa mkuu mda bado angalau ni win huo moyo basi kuoana ni hatua nyingine
View attachment 3176718
Wachache watanielewa.
Hatumii mambo ya sodoma?
Ulijuaje!?Hatumii mambo ya sodoma
Unaposema kwenye uzi unataka udumu naye, adumu na wewe kwenye kukutomba tu au unamaanisha nini?
Umekosa kazi weweHabari
Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda..
Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi..
Sasa niwaambie ukweli huyu bro hajanitamkia kama anahitaji mahusiano na mimi kama vile tulivyozoea namna ya utongozaji wa mwanaume kwa mwanamke
Ni ile tu ananichombeza chombeza maneno mazuri mazuri na amefanikiwa kuniteka hisia zangu mpk tukaishia kukulana (Sijutii maana na mimi nilikuwa na hamu zangu)
Kilichonileta hapa nataka ushaurii haswa kwa wanaume ni kwa namna gani huyu mwanaume nitampata yaani ikiwezekana awe wangu najua atakuwa ana mahusiano yake labda seriously but mimi hilo halina shida kikubwa ni kuwa hajaoa na kama mtu hajaoa ni kama yuko single
Jamani mwanaume ambae yuko single Hakuna kila mtu yuko na mtu haijalishi ni mahusiano seriously au yakuzuga sasa mimi nimuache huyu kwasababu zipi wakati hajanitamkia kuwa ana mtu na hajaoa( hii ni 100%) kwasababu nimeshafanya ujasusi wangu hana mke Kijana
Sasa mimi nataka kulipambania hili husiano ikiwezekana liwe husiano kwelikweli uzuri ni kuwa ninampenda so sidhani kama nita mtreat vibaya….
Sijamtamkia kuwa nampenda lakini matendo nazani kashaelewa..
Nishaurini namna ya kufanya ili niendelee kumuweka upande wangu au niendelee na maisha yangu
Nb: Sijawahi kumlilia shida hata siku moja yaani sijawah kuzungumza maswala ya kuombaomba hela hata tukionana huwa natumia nauli yangu kumfuata.
Yeye ndio hunipa muda wa kuondoka anasema nitaongezea nauli… suala la hela sio tatizo kwangu kwa kuwa nishampenda
Ulijuaje!?
Umekosa kazi wewe
Ushauri wa mahusiano Yako unaomba watu wa nje kwamba hujiamini ama akili Yako haijjitosheleza
Focus on money, food and hobbies love is scam.
Kukaa nae kwenye mahusiano hayo ya ndoa si ni Mungu anapanga.. sijawah kuwa na uhusiano la mwaka jmn
PoleSijiaMini mkuu
Tafuta ufumbuzi wa hilo mkuu, ni tatizo kwako hasa kama huna ndoa.Hata sigawi Mkuu nimejitunza vizuri tu sema kuna huyo mmoja alisema nitamnyonya damu napenda kukulana labda upwiru
Kila mtu anaachwa..tatizo wewe kiherehere chako cha kujitangaza.[emoji16][emoji16]mbona hivyo jmn si unipe hizo mbinu za kudumu nae
Mbona kama jf Mimi ndio naongoza kwa kuachwa
Umetombw bila kutongozwa alafu unasema et mav mav! Huyo hata akikuomba Kisamvu inaonekana uko radhi kumpa 100%✓Sijui ila hatumii anaonekana tu
Hebu achana na mambo ya mavimavi basi
Umesema vyema mkuuUmetombw bila kutongozwa alafu unasema et mav mav! Huyo hata akikuomba Kisamvu inaonekana uko radhi kumpa 100%✓
Hana nia nzuri huyu, anataka amchezee kijana wawatuKwahiyo unataka kumchezea kaka wa watu 😹😹😹
Hivyo navyokula vinataka vitoke nnje ya mwili nani atanitoa asa