Nishampenda nipeni njia ya kudumu nae

1. Usikae nae ghetto moja.
2. Kama kwenda kwake iwe weekend tu
3. Usimkataze kubet, kuangalia mpira wala kunywa pombe
4. Usimwambie simpendi rafiki yako x au y wala z ata kama marafiki zake wanaonekana walevi muache kama ulivomkuta
5. Msapoti husstle zake mfano kimawazo
6. Akikupa siku hela, mfano elfu 50, atleast 20k mnunulie ata t-shirt au jeans au boxer ata mkanda
7. Usimlazimishe kwenda kanisani, au kwenye mikesha, just mshawishi akikubali nenda nae.
8. Usimfananishe na michepuko yako ya zamani.
9. Usimtambulishe kwa marafiki zako
 
Usifikirie swala la mahusiano kisa mmekunjana mara mbili tatu just enjoy tu kile kilichopo sasa hivi,kama ni mambo yatajipa badae basi itakuwa vizuri sana.
 

Dawa chungu Ngoja nimezee juice
 
Umetombw bila kutongozwa alafu unasema et mav mav! Huyo hata akikuomba Kisamvu inaonekana uko radhi kumpa 100%✓

Mbona umekazana na ufilauni kwani umesoma vizuri uzi si nilitaka mwenyewe sikulazimishwa nae nilikuwa na upwiru so Hakuna nachojutia

Maswala ya tigo ni wewe unayaleta hapa Hakuna mahali nilikuambia anataka tigo au nataka kumpa tigo

Acha makasiriko kwenye nyuzi za watu
 
Usifikirie swala la mahusiano kisa mmekunjana mara mbili tatu just enjoy tu kile kilichopo sasa hivi,kama ni mambo yatajipa badae basi itakuwa vizuri sana.

Sawa mdada
 

Noted
 
Hujanielewa mkuu. Sio kwamba wanaovitoa nje wote wako in love. Kuvitoa nje na kufall in love ni tofauti

Hatujaelewana wote maana mimi pia sikumaanisha hivyo
 

[emoji854]sawa
 
mmekulana au umeliwa hapo kuna mlaji na mkiwaji, ukisema mmekulana kuna ukakasi hapo alikula na wewe ukamla
 
mmekulana au umeliwa hapo kuna mlaji na mkiwaji, ukisema mmekulana kuna ukakasi hapo alikula na wewe ukamla

Yaani wote tumeenjoy yaani Hakuna alielazimishwa yaani sijabakwa ni hivyo mkuu
 
Asante kwa kunipemda, ila sipendi kubanwa banwa, na kufuatiliwa kila saa kama gari la patrol
Tuendelee kuwa hivihivi, ila sasa usiniforce kuhusu future, hatma tuyajua huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…