Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Jitahidi usikate tamaa.
 
Umezungumza kama daktari alivyoniambia,. Yeah ni kweli hata leo from morning sijashika simu ndio nimepatiwa saizi,.. Nitajitahidi Asante
Utakuwa sawa, pole sana
 
Dah I used to believe wewe ni mkubwa binti kumbe ni mtoto sana .

Pole kwa yote ,Mungu akutie nguvu ijapokuwa natamani nijue specific unaumwa nini na una muda gani ?

Hapa ni jamii kubwa yaweza kuwa ngumu kunieleza walau nijue naanzia wapi kukusaidia .

Ukiwiwa karibu DM ,ukiona haitafaa basi nitakuwa Chabruma kwa wiki mbili zijazo kuanzia ijumaa ijayo ,tafadhali karibu au nitaomba kuonana na wewe najihisi kuweza kukusaidia .

Ikiwa yote yameshindikana basi nikuombe kumuomba Mungu kwa Imani na dhati pasina mashka na hakika utakuwa sawa .

Pole sana mwanangu ,Mungu akusaidie binti mdogo
 
Ni Tinnitus kipenzi
Mbona inaonekana sio kitu cha kutisha hivyo? Au ww unajisikiaje..nadhani njia ni kuachana na mawazo negative uliyonayo..ww potezea kama husikii hizo sauti...
 
Mmmh.
Hujapona tu bado ?

Nina-uzoefu na shida za masikio, kama shida bado ni hiyo naweza kukushauri vya kufanya.
 
Unow unaelewa kwanini nlikwambia kwenye Ile thread unakoenda sio kwema omba sana Mungu akuponye na akuepushie?

Naomba unitumie ujumbe pm.kama uko interested.i have a lot to share with you
 
1) Achana na tamaa.
Ridhika na kipato chako, cha muhimu sana hakikisha una afya njema, unavaa, unakula, una uwezo wa kununua vocha, soda, maji .nk.

2) kwenye mambo yako yote angalia ni jambo gani ukifanya unajisikia vizuri tambaa huko huko bila kiangalia macho ya jamii kikubwa liwe jambo harali lisilokuumiza wewe au kuumiza watu,

3,) epuka kua karibu na makundi ya vijana wa lika lako, tafuta wale unaoona wamekuzidi vyote ulivyo navyo.

4) wanawake iwe ni jambo utakalofikiria mwishoni huko namaanisha mbele kwa mbele kulee ukishasimama katika kila kitu.

5) ondoa wasiwasi, ondoa mashaka, ondoa aibu, ondoa hofu ya jambo lolote lile, usiogope kitu usijenge mazingira ya kulalamika au kulalamikiwa na wewe mwenyewe au yoyote yule.



Hizo hatua tano tu kwa leo zinakutosha.
 
unaendeleaje Leejay49
 
sijui hata chakusema ila mungu tunaomba utukumbuke sisi watoto wako,tumebeba mizigo mizito sana moyoni
 
Asante mkuu kwa ujumbe mzuri,. Sikua nimeona🙏🙏
 
Unow unaelewa kwanini nlikwambia kwenye Ile thread unakoenda sio kwema omba sana Mungu akuponye na akuepushie?

Naomba unitumie ujumbe pm.kama uko interested.i have a lot to share with you
Asante sister Abigaili,. Nimekupm now, sikua nimeona hii post yako🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…