Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Kinachokufanya unaumwasana ni hofu kunawakat kubaliana na hali halisi
Huwa kuna kushuka kinga mwili hasa unapokuwa stress maintain stress acha kuwaza kilakitu ona kawaida
Ushawah wafikiria wanaogua kansa ya utumbo wengine koo imagine maumivu Yao?
Shangazi km nakuelewa hiviii!! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Pole sana kwa kilichokutokea, nina uwezo wa kukutoa kwenye hiyo hali ukarudi kawaida nikiwa na muda nitarudi hapa kukuweka sawa. Jambo dogo sana hilo wala usiwaze
 
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Binti kisauti
 
nkoge
 
Pole jirani, utakuwa sawa ma.
Omba kwa imani yako, kamwe usijikatie tamaa.
Na kingine ungeendelea kutafuta wataalamu wa afya wakusaidie.
 
Jemedari sijui ni uzee, siku hizi Kuna vitu siogopi kabisa. Unawezakujipa hofu ya vitu ambavyo hauna uwezo navyo au ukapoteza utulivu wa kufanya vizuri vile vichache vilivyopo kwenye uwezo wako.

Mwisho wa saa, sio kauli ya kukata tamaa lakini kikubwa nawaza siku nikidondoka, naondoka na kitu gani? Je, kinatakiwa kinifanye nishindwe kufurahia maisha? Hofu inafuvaza na kuua ndoto za watu wengi sana.

Pia kama ulivyoshauri, tumejaaliwa na kupata nafasi ya vitu vingi ila tunachukulua kawaida Kwa vile tunavyo au tunavipata. Lakini Kuna wengine hiyo hiyo hali tuliyonayo ni miujiza

Kikubwa, epuka kukata tamaa. Kaa mbali na Kila kinachokukatisha tamaa . Kuwa mtu wa matumaini na kuiona kesho Bora kuliko Leo licha ya Hali iliyopo Sasa.
Amen
 
Kila maumivu unayopitia ktk mwili wako Una mahusiano na jinsi gani unayaona maisha,mgongo kuuma ni matokeo ya wewe kuwa na mzigo mkubwa kuliko uwezo wako unaweza kuwa kipato NK,kuumwa miguu au hipsi ni dalili za wewe kuto kujua mwelekeo sahihi ktk maisha yako,kiuno ni hofu ya uchumi usio kuwa uhakika,kifua kuuma au kubana ni kuwa na manung'uniko ambayo huna mazingira sahihi ya kuyatoa ambayo ikiwa ni muda mrefu unaweza pata kansa! Kansa ya shingo ya kizazi ni dalili za mtu aliye nyanyasika sana ktk hisia za kimapenzi macho ni dalili za kuto kuiona nuru ktk maisha yako
NINI UFANYE?
Jikubali Kwanza angalia kile ulicho nacho Kwa thamani,jikubali wewe mwenyewe pale ulipo kosea jisamehe! Kama uko Sawa kiuchumi mtafute mwana saikolojia mzuri akusaidie utakuwa poa
Asante kwa ushauri mzuri rafiki
 
Polee sana Dear! Usijari utakua sawa na utaendeleza ndoto zako pale ulipoishia, usikate tamaa nafasi bado unayo ktk uhai na utimilifu.

Kuumwa ni kawaida kwa mwanadamu, ugua poleeee!! Ningekua huko ningekuja kukusabahi.
Asante best,.
 
Back
Top Bottom