Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndio suluhisho la kudumu.ok, thanks anyways🙏🙏
😀 vijana wa hovyoUna umri gani kwa sasa? Umeolewa au hujaolewa tueleze kodogo mahusiano yako upate ushauri
kwakweli, Asante kwa ushauri mzuri mkuuUkirelax ukajua una muda wa kurekebisha makosa utaishi kwa amani zaidi
Hio biashara kama uliianzisha ww mwnyewe basi omba uzima kwanza
biashara kama ulianzisha mwenyewe na ikaenda vizuri ukipona hutashindwa kuirudisha kwenye mstari😁
Asante mkuu, ubarikiweUzi wako huu unaweza ukausoma tena na ujumbe ulioandika wakati huo ukautumia hata sasa...
Thread 'Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku' Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku
Asante kwa ushauri mzuri rafikiPole sana Ms. Leejay.
Miaka 23, natumai Bado upo nyumbani.
Wacha baba/mama wakuhidumie kimatibabu.
Jipe muda, upone.
Pia, kama unasali kwa nia ya kuwa na amani, Sali.
Ila sikushauri usali, kufunga na kuomba/kuombewa ili upone. It never works, ni attributions tu watu hufanya.
Badala yake, endelea kufuatilia tiba zinazothibitishika hospitali na research ukoo wa baba na mama kama kuna cases similar zimewahi kurekodiwa kwa ndugu wengine.
Ugua pole.
Nini hiko jamani? Wamesema ni nini?niliruhusiwa wiki iliyopita, Nimerudi tena mchana wa leo
Uzi wako huu unaweza ukausoma tena na ujumbe ulioandika wakati huo ukautumia hata sasa...
Thread 'Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku' Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku