Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Asante kipenzi, barikiwa sana
 
Asante rafiki, barikiwa sana
 
pole toto,ukitaka kujiongezea tabu ni uwaze sana mawazo sio kitu kizuri.. hivi sasa hakikisha nguvu kubwa unaihamishia kwenye tiba pambana haswa!.
 
Nenda kanisa la walokole ukaombewe.

Usipuuze hili
 
Pole sana!

Iogope sukari kama ukoma!!

Sukari ni hatari kuliko hata pombe!!

Macho,miguu na damu plus misuli !!?jitahidi uachane na hizi sukari utakua fine,young and fresh!!

Sasa ondoa free radicals kwa kunywa chai isiyo na sukari!

Ukipata green tea ukawa unachemsha chai bila kuweka sukari asubuhi na jioni baada ya mlo itakuasaidia sana!kama huna green tea tumia ya kawaida tu walau vikombe viwili asubuhi mchana na jion!!asubuhi kabla ya mlo kunywa viwili halafu ndio update breakfast!!!

Utakua active!
 
pole toto,ukitaka kujiongezea tabu ni uwaze sana mawazo sio kitu kizuri.. hivi sasa hakikisha nguvu kubwa unaihamishia kwenye tiba pambana haswa!.
Asante rafiki
 
Olewa.
 
Asante kwa Ushauri mzuri kiongozi,, Wacha niufanyie kazi ushauri wako, si naweza kutumia hata michaichai kwanza navyotafuta hizo green tea??
 
Pole sana mkuu usikate tamaa ata Mimi niliumwa sana vidonda vya tumbo hadi nilikata tamaa ila asaivi Nipo fresh kikubwa usiishi kwa hofu na usikate tamaaa ipo siku utapona dada yangu polee sana kwa kuumwa
Kindly share uliponaje ulcers? Maana ni tatizo la wengi japo mimi si mmojawapo.



Pole kwako Leejay49
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…