Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji1][emoji1]miosho tu hii[emoji706]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1]miosho tu hii[emoji706]
I don't have to be serious in everything I do. I can present to you a not serious matter in a non serious way and life goes on. By the way life itself is so serious so we need to take matters lightly at times. Does this make any sense to you Mr?Maandishi yake yanajieleza ni furahisha genge.
Rudia kumsoma upya utaelewa siyo mtu serious.
Kwanza kwa akili yangu usije kujidanganya kuhusu hotel booking wakati pesa yenyewe una account Tigo pesa, ukiambiwa lete bank statement una jeuri hiyo? hii siyo platform ya Watoto.Mkuu hii ID yako ni ya muda Sana nimekua nikiona hapa JF na ni moja ya ID naziheshimu Sana.
Ila kumbe na wewe ni mtu flani sometimes. Didn't expect this from you. That's way too low buddy.
JF ina watu wa kila aina na since it's a platform inaficha ID ya mtu ni sehemu hata watu wa kubwa wanaingia kuuliza mambo ya kipuuzi maana wanajua ni uhakika hawatajulikana.
Nikuulize kwa akili zako hivi mtu hawezi aka book hotel wakati WA interview na Ile hotel sio Lazima ulipie kwa mda huo ni just to have accomodation confirmation then later a opt for a cheaper one and disregard the one aliyo book before??!!
Again ...hivi mtu hawezi mtafta mtu amualike kwake huko USA just to tick the boxes but lator anajua ataenda kwengine
......
....
...So many ways zipo hapo I repeat...the one I used I can't reveal it hapa kwa forum and it's none of the above two.
Go figure out ....change your mentality too.
Hapa ndipo unaonesha utoto zaidi, hujui kabisa kwamba invitation za kanisa ndio viza inayotolewa kirahisi zaidi baada ya ile ya spouse viza.Humu ndani ujuaji mwingi balaa. Sasa nisaidiwe na kabisa au msikiti kwani mi sijiwezi. Km ni easy baasi nenda kanisani au msikitini kwenu kawaambie wakutaftie visa
Mbona mitusi sana broUAE siyo nchi ya kiislamu, wewe una tatizo kichwani siyo bure.
Kumbe kukatika viuno kote kuwashabikia DP ya Dubai unaamini kwamba Dubai nchi ya kiislamu?
Wewe ni wa kupimwa akili, jielimishe tofauti ya Uarabu na uislamu, hujui lolote takataka Wewe.
Indonesia ndio nchi inayoongoza kuwa na waislamu wengi duniani, na siyo Waarabu wala siyo nchi ya kiislamu.
Labda hujui Islamia Jamhuria, au hujui magaidi wenzako majihadist wa Islamic state target yao ni nini.
Stay away, humjui mtu huyu, wewe bado mgeni hapa.Mbona mitusi sana bro
Inaendelea kunywewa hapa na boflo [emoji506] la mkatebaasi inywewe au sio
How do you know Mimi ni mtu mjinga?Kwanza kwa akili yangu usije kujidanganya kuhusu hotel booking wakati pesa yenyewe una account Tigo pesa, ukiambiwa lete bank statement una jeuri hiyo? hii siyo platform ya Watoto.
Second mtu ambaye ana uthubutu wa kukutumia invitation letter kukuhost temporary for short stay kwake siyo issue, Marekani watu hawapambanii chakula walishapita huko.
Yes so many ways zipo lakini siyo kwa kila mtu au kwa mtu mjinga.
Mkuu apa kuna kaharufu ka wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kajiunge na homelesses.Mtalala majalalani mkiota mioto ya kwenye mapipa.[emoji23]
Aisee....hii wivu ni ya viwango.miosho tu hii🚮
Heee...na wewe uko yueseie kumbe?huku?
Wasamehe bure mkuu....kila LA kheri,mie natamani hata siku moja nipande japo precision air ikanimwage ziwani nife kitajiri.How do you know Mimi ni mtu mjinga?
By the way my monthly income huwezi kuufikia hata kidogo. I'm just looking for a cheaper option coz nataka Ku save due to other commitments.
Kuna watu kichwani ni hewa kabisa.
Yaani mtu anaamua tu kuandika eti wewe huna pesa. Au mnataka wote humu tuwe kama wahaya tuwaambie tuna pesa?! then what.
Narudia tumaficha Tu ID zetu huku ila Nashukuru Mungu ninakipato kikubwa kupita watanzania wengi na wewe pia ukiwemo Kuku wewe.
Dah Mungu anisamehe kwa kuji brag hivi maana husda sio poa.
Ila hii NI kwa ajili yako Tu wewe ukae ukijua.
siwezijua mambo ya kanisani. Usilazimishe kila mtu awe mtu WA kanisani.Hapa ndipo unaonesha utoto zaidi, hujui kabisa kwamba invitation za kanisa ndio viza inayotolewa kirahisi zaidi baada ya ile ya spouse viza.