Kjicho hicho chote kisa kasema anaenda NW, jee akisema anaenda Peponi?Chai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kjicho hicho chote kisa kasema anaenda NW, jee akisema anaenda Peponi?Chai.
😂😂😂😂miosho tu hii🚮
hapo nimekupata. Ngoja ni download nioneAirbnb kama hujawahi kutumia account yako kubook sehemu yoyote Huwa inakuwa ngumu host kuapprove request yako Ili ukae kwake, wanakosa Imani na wewe kwasababu account Haina review Tena ukiwa black ndio kabisa.
Ila Hawa World Hostel hawana hizo.
Kuhusu bei za World hostel utajiwekea filter ya bei unazotaka. Ila nimetoka kuserch bei nyingi hapo New York za chini kabisa ni 140,000 Tena zingine sio chumba ni bed kwenye dooms
thanks kwa ushauri. will google the sameFikia kwenye Motels, rather thann hotels ama hostels kama unatabaka ku save budget. Ziko cheaper haziko kivile, lakini unakuwa na chumba chako mwenyewe kwa usalama, maji moto kuoga, safe deposit box, TV etc. Mfano Red Roof Inn, Days Inn, Super 8, na kadhalika. At least wako below $80 kwa siku
visa ni shingapi samahani lakini, na mimi nataka kwenda. samahani lakiniSasa kwa kua hujui kitu wewe ndio boya. Kojoa ukalale shemeji asikukute macho
Dah umemtishaAndaa $1000 kila siku kuishi maisha ya New York city tena hapo unalala nje ukilala na kula hotelini sio chini ya $5000
Ingia Google acha kusumbua watu humumkuu unaweza ukaelezea Zaidi jinsi ya kupata huko?
Google .Simu yako kazi yake nini? Kusoma jamii forums tu?visa ni shingapi samahani lakini, na mimi nataka kwenda. samahani lakini
Wewe poyoyo tu, hata unachokisoma hukielewi.Dini imekufanya umekuwa mjinga sana pumbavu kabisa.
YMCA na YWCA zipo dunia nzima hata Tanzania ndio cheap accommodation na cheap food price, lakini hakuna Mkristo anaweza Ingiza udini kujivunia hilo, mpumbavu mkubwa wewe.
Tafuta kwenye mtandao sehemu zinaitwa "sleep station", ipo moja maarufu inatwa "Central park sleep station?. Hiyo ni cheap and best.
Pia nakushauri tafuta " Youth Hostels".
Uislam ni mwema sana, ukiwa Muislam unakwenda ofisi za Markaz Tabligh ya Tanzania wanakuunganisha na Markaz Tabligh ya New York, umefunga kazi. Salama, amani na official. Kwingine zinaitwa 'Jamaat Tabligh".
Bei poa kabisa hizo kwa New York.👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
1) HI NEW YORK CITY HOSTEL (USD 44 PER NIGHT)
2) NY MOORE HOSTEL (USD 56 PER NIGHT)
3) KAM WAY LODGE & TRAVEL HOSTEL (USD 54 PER NIGHT)
4) CENTRAL PARK WEST HOSTEL (USD 63 PER NIGHT)
5) THE LOCAL-HOTEL (USD 65 PER NIGHT)
* All Inclusive of Taxes & Fees
Akishindwa kwa bei hizi asiende !! Hizi ndio za chini kabisa kwa malazi salama !!Bei poa kabisa hizo kwa New York.
Kama sio muislam hapokelewi huko kwa waislam??Tafuta kwenye mtandao sehemu zinaitwa "sleep station", ipo moja maarufu inatwa "Central park sleep station?. Hiyo ni cheap and best.
Pia nakushauri tafuta " Youth Hostels".
Uislam ni mwema sana, ukiwa Muislam unakwenda ofisi za Markaz Tabligh ya Tanzania wanakuunganisha na Markaz Tabligh ya New York, umefunga kazi. Salama, amani na official. Kwingine zinaitwa 'Jamaat Tabligh".