Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

Daah yaani mtu unaenda USA usijue utafikia wapi ndio maana mnaleta mazingira magumu ya wengine kupata Visa aisee...
Anafurahisha genge tu, hakuna msafiri hapo.

Utapata vipi viza bila address utakayofikia?

Ulipataje invitation? Let's assume ni hotel booking, mtu wa level hizo hawezi kuja JF kuuuliza cheapest accommodation.

Chinese proverb inasema if you can't make then fake it.

Kijana anafake kujipa amani ya moyo.
 
Chai inastawi sana siku hizi [emoji261][emoji261][emoji478][emoji478]
FB_IMG_1689244373343.jpg
 
Naona gujafanya homework yako vizuri.

Nchi za Waislam leo hii ndiyo nchi pekee zenye wageni wengi sana tena san wa kutoka nchi za nje kuliko raia wa nchi hizo. Ushahidi:

View attachment 2695753

Hapo unajionea 90% ni wageni.

Wapi kwengine zàidi ya nchi za Waislam utakuta hayo?

Soma zaidi: United Arab Emirates (UAE) Population Statistics 2023 | GMI
UAE siyo nchi ya kiislamu, wewe una tatizo kichwani siyo bure.

Kumbe kukatika viuno kote kuwashabikia DP ya Dubai unaamini kwamba Dubai nchi ya kiislamu?

Wewe ni wa kupimwa akili, jielimishe tofauti ya Uarabu na uislamu, hujui lolote takataka Wewe.

Indonesia ndio nchi inayoongoza kuwa na waislamu wengi duniani, na siyo Waarabu wala siyo nchi ya kiislamu.

Labda hujui Islamia Jamhuria, au hujui magaidi wenzako majihadist wa Islamic state target yao ni nini.
 
Thanks bi mdada will goggle. Ila hizo za kulala mosque mfano pale airport wakini single out na kuniuliza waenda kaa wapi nkiwaambia Mskitini si ntarudishwa hapo hapo 🤣🤣🤣 joking though can happen no.
Hapana, ukienda kwa njia ya Tabligh unakuwa na full backup ya documetation za kisheria. Tabligh ni walingania dini, ni makubaliano ya Kimataifa, madi wawe wapo kihalali. Tanzania wapo branch yao na USA wapo.
 
UAE siyo nchi ya kiislamu, wewe una tatizo kichwani siyo bure.

Kumbe kukatika viuno kote kuwashabikia DP ya Dubai unaamini kwamba Dubai nchi ya kiislamu?

Wewe ni wa kupimwa akili, jielimishe tofauti ya Uarabu na uislamu, hujui lolote takataka Wewe.

Indonesia ndio nchi inayoongoza kuwa na waislamu wengi duniani, na siyo Waarabu wala siyo nchi ya kiislamu.

Labda hujui Islamia Jamhuria, au hujui magaidi wenzako majihadist wa Islamic state target yao ni nini.
Hahahahaha, kafanye home work yako. kama hujawapenda UAE kuwa ni nchi ya Waislam, Wasome na Qatar. Wasome Saudi Arabia, Wasome Oman. Mambo ni hayo hayo tu.

Usianze ubishi wa kijinga.

Huwa sikisii.
 
Anafurahisha genge tu, hakuna msafiri hapo.

Utapata vipi viza bila address utakayofikia?

Ulipataje invitation? Let's assume ni hotel booking, mtu wa level hizo hawezi kuja JF kuuuliza cheapest accommodation.

Chinese proverb inasema if you can't make then fake it.

Kijana anafake kujipa amani ya moyo.
Sema vijana wa siku hizi unaweza kushangaa ni kweli maana vitu vingine anaweza kupata msaada wa Kanisa...au msaada kwenye Tuta harafu hajui aanzie wapi...
 
Tafuta kwenye mtandao sehemu zinaitwa "sleep station", ipo moja maarufu inatwa "Central park sleep station?. Hiyo ni cheap and best.

Pia nakushauri taufuta " Youth Hostels".

Uislam ni mwema sana, ukiwa Muislam unakwenda ofisi za Markaz Tabligh ya Tanzania wanakuunganisha na Markaz Tabligh ya New York, umefunga kazi. Salama, amani na official. Kwingine zinaitwa 'Jamaat Tabligh".
Una mqdini lqkini ukifuatwq inbox hujibu. Kunq mengine huwez kuqndikq hapahapa lazmq mtu uende inbox
 
Una mqdini lqkini ukifuatwq inbox hujibu. Kunq mengine huwez kuqndikq hapahapa lazmq mtu uende inbox
Kweli kabisa, utanisamehe sana kwa hilo. Ni mara moja moja sana huwasiliana na watu Private box. Tena huwa naanzisha mimi hayo mawasiliano ya private.

Mitandao ya kijamii tuwasiliane hapa kiuwazi ili iwe faida kwa wengi. Anaetaka kuwasiliana na wewe private atakupa namba zake za simu. Mimi sitaki.
 
Akienda kama mtalii au mfanyabiashara barua ya mwaliko ya nini?

kuna mambo watu mmekariri sana.
Sheria na vigezo vya Visa ya USA viko wazi kabisa. Hawana longolongo, ingia kwenye mtandao wao wa US Embassy Tanzania utajionea vigezzo vyote.

Link hii hapa: Tourism & Visit
 
Pia kijana nakushauri tazama namna ya kuwa unakaa "upstate New York " na ku commute daily kwenda New York. "Upstate" ni vimiji vinavyoiźunguka New York lakini kwa usafiri wa kule ni kama upo New York tu.

Zamani sana nakumbuka watu wakienda USA, Canada au Europe, kulikuwa kuna mpango unaitwa "world packers", huu unawasiliana kabla na unapokwenda, "unabeba boksi" kwa siku unazokuwa hapo, unapata kula na kulala.

Sifahamu kama bado upo.

Utafute kwa mtandao.

Njia zipo nyingi sana lakini muda naona hautakotosha kuzifanyia kazi, ungeanza kuuliza mapema tugekupa njia ambazo nnauhakika mojawapo ungeweza kujipatia hata kuishi bure kabisa ukajipatia pocket lmoney kila siku.

Hivi unapafahamu pale Dar YMCA? kama ni wa kike YWCA?

Kama unapafahamu ukifika hapo umeshatatuwa tatizo lako. Nenda kawaone.
Kikongwe leo umeamka vizuri...endelea kutoa darasa kwa hawa vijana.
 
Wakati unaomba visa hukuulizwa utakapofikia? Barua ya mwaliko ulikuwa nayo? Saa nyingine acha kuota ukiwa macho.
Hii ilikuwa taarifa kw jf km ilivyo desturi yetu wajf ni kumsisitizia ndugu muhimu apate kujulishwa na mtaa wenye watot wakali wa bei rahisi
 
Bufa atakuambia hao wengine achana nao kamati ya wivu,choyo ,husuda na roho mbaya
 
Hii ilikuwa taarifa kw jf km ilivyo desturi yetu wajf ni kumsisitizia ndugu muhimu apate kujulishwa na mtaa wenye watot wakali wa bei rahisi
New York ni moja katika majiji ya ghali sana duniani, hakuna cha rahisi huko.

Isipokuwa kuna njia za kufanya ili kwa maisha yetu ya Kitanzania mwanzo mwanzo pawe na unafuu.

Nyie ndiyo mkifika huko mnaivagaa mijadume inayovaa kike, unaona umeopowa kumbe umaopolewa unaenda kulawitiwa wewe. Hakuna masihara huko.

Lakini ukweli ni kuwa USA wanawake ni wengi sana kuliko wanume, mijanadumehuko mingi imekuwa mishoga.

Sema maisha ya ni tofauti kabisa na wanawake wa huku kwetu. Huko kila mtu anajitegemea. Ukitaka utelezi inakula kwako. Na mwaanamke anaefanya biashara ya kujiuza, basi anajiuza kweli, wapo kila class. Lakini nawashauri vijana, magonjwa ya zinaa UDSA, hususan New York ni mengi na ya kiajbu ajbu. Msifanye ujinga wa uasherati na uzinzi huko.

Pia cha kuwatahadharusha, USA sivyo kama mnavyoiona kwenye TV. Wachawi ni wengi huko kuliko Afrika, kutolewa kafara huko ni kitu cha kawaida kabisa.
 
Bila shaka ujumbe umemfikia ndgu yetu mwenye safari ya new york na atachukua tahadhari
 
August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama.

Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza.

Asanteni wakulungwa.
Siku mbili tatu halafu unakuja kusumbua watu huku?
 
Back
Top Bottom