Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Nyie ambao hajmasoma ndio wife material. Kwa uzoefu wangu nimekuwa na wa aina yote, wako exptional waliosoma lakini na adabu( hawa ni wachache), lakin waliobaki ni crisis. Maana ana value mahusiano based on usomi wake
 
Nyie ambao hajmasoma ndio wife material. Kwa uzoefu wangu nimekuwa na wa aina yote, wako exptional waliosoma lakini na adabu( hawa ni wachache), lakin waliobaki ni crisis. Maana ana value mahusiano based on usomi wake
hana cha kupoteza pia
na ndo wanawake wenye soko hao kila mtu anawataka asa anyenyekee nini
 
Ushauri wangu muulize katika hao wanaume 10 anaoweza kuwa nao wewe utashika namba ngapi?

Kama upo top 5 basi kaa kwa kutulia.

Kuhusu simu kwenda nayo bafuni anaenda kuisafisha kama yako unaicha chafu pole sana.

Hitimisho
Kuna vitu sio vya kuomba ushauri, labda useme tu umekuja kutoa la moyoni 😂
 
kimbia haraka sana hapo
 
Nani anakunyasa nyasa huyo malaika wangu😁
 
Ushauriwe nini wakati we umeamua kuwa na malaya.
Unakuja kutusumbua sisi huku ni wewe mwenyewe ulimchukua..
Huyo ni malaya tu,kasema mwenyewe hata 10 anaweza kuwa nao haikuhusu.
Watu wa hivi unafikiri wanataka ushauri kweli? Hapa anatafuta justification ya kuoa malaya. Kuna mahala aya ya mwisho kabisa kaandika kaomba msamaha eti ni shetani amempitia.
 
Enyi wagalatia ni nani aliyewaroga.
 
Bora akuue kiziwi na kipofu wewe, tunawaambia tombàa kisha sepa hamuelewi bora akuue
 
Anakumudu, hilo ndio huwa jibu langu. EPUKA MWANAMKE ANAEKUMUDU, Hakikisha unammudu wewe. Hiyo simu inafanya ujinga huo bado unaichekea, bado unamchekea oneshwa kukereka kama kukasirika kwako na reaction yako kwake ndio itakuwa mwisho basi ipo siku huko atakapoenda atakumbuka aliwah kuwa na mwanamme imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…