Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

[emoji3][emoji3]Muingize chaka aendelee kuto-mbewa akiwa kwenye ndoa.
Mbona wapo wengi tu Mkuu kwa sasa walio force kingi, utasikia cha muhimu ananitunzia wanangu [emoji23], na ndo na vinguvu vya kiume vipungue kidogo huko ndoani yan unakula mke wa mtu hadi nje ya getini kwao.

Chanzo kikubwa ya ndoa za namna hizo ni KUOA mwanamke ambaye toka mwanzo alionesha kukumudu na ww ukaonesha uking'ang'anizi ya kwamba unampenda sana[emoji2957]
 
Sahihi mkuu.
 
Nilipokuwa na umri wa miaka 27 sikuwa hata na muda wa wanawake ,,
Dgo ukifikisha age ya 32 to above utakuwa mwanaume kamili Sasa,,kudeal na wanawake
Kwa Sasa hakikisha unapata kiwanja ujenge nyumba ,kuza biashara/ kilimo,,saidia ndugu zako hata kidgo ,,
 
ushauri wako wa kibabe sana nimeukubali
 
appreciate
 
kumuuliza niko namba ngapi uko ni kujitia kitanzi
 
Kwani unasubiri nini mkuu
 
huu ndo ukomavu wa akili sasa
 
Brother unatumika kimbia mapema,siku ukiomba likizo mwambie umeacha kazi utakachokiona utakuja nishukuru
 
Kimbia hapo hakuna mke halafu miaka 27 unaoa nini subiri ufike 30 ukomae kiakili ndoa sio lelemama maana hayo maamuzi madogo yanakushinda ndani utayaweza weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…