Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Tunakusubiri utakapoanza kutoa mlio ningekua mimi ningeruka na huyo mwingineNikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Achana nae huyo utajuta mbeleniKama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Umesema huyo black mwenye matako makubwa ni single mother na ana injini 2 zimepaki pembeni? QudadekNote:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Kumbe Mkuu bado unajitafuta!Yes nampenda huyo dem coz pia ajawahi kuzaa tatzo ni mtu wa gharama sana nikisema nisetle nae nitashndwa kupiga hatua kimaisha
Duh,...ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Ungeruka na yupi?Tunakusubiri utakapoanza kutoa mlio ningekua mimi ningeruka na huyo mwingine
Ngoja nisome chini
Niachane na yupi?Achana nae huyo utajuta mbeleni
No mwenye mtako mkubwa sio single maza mkuu na ana miaka 25 japo alishajifungua kwa upasuaji mtoto akafarikiUmesema huyo black mwenye matako makubwa ni single mother na ana injini 2 zimepaki pembeni? Qudadek
Sawa mkuuKumbe Mkuu bado unajitafuta!
Kama bado unajitafuta
KATAA NDOA.
Upo wapi mkuuWalete na Mimi nitupiemo angalau kimoja tu
Nimekuelewa mkuuDuh,
Ni wapi ulisikia mwanaume anaenenda na hisia?!!
Huyo hapo hafai kabisa kuoa, ila kama mchepuko sawa
Hujakua hata bado mtoto kbs kwasababu hujui unataka nini.Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Single mother ndio huyo unasema pisi kali?No mwenye mtako mkubwa sio single maza mkuu na ana miaka 25 japo alishajifungua kwa upasuaji mtoto akafariki
Njoo nikupe tubasamu mremboKwa ninayayaona na niliyojifunza chagua anaekupenda sana na ametulia mtunze Mpe tabasamu utashangaa
Hapana ni huyo wa tatu mwenye miaka 20, pisi kali yupo 23 hana mtotoSingle mother ndio huyo unasema pisi kali?