Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Unapasea condom una kuni kubwa kiasi gani maana condom 1 inajaza maji ya lita 20 na zaid yaan ndoo ya lita 20 unaweza ukaivisha condom na isipasukeGono hana mkuu kuna kipindi nilikuwa nina wasi wasi nae sana akaniambia ni presha zangu tu yeye hana hana shida na condom imeshapasuka mara kibao lakini natoka vzr tu mkuu
Ni type kama hizo mkuu yani anamzigo mkuu mpaka kutembea nae huwa naona jau
Mkuu uchi wake mdogo sana halafu ni mkavu hatariUnapasea condom una kuni kubwa kiasi gani maana condom 1 inajaza maji ya lita 20 na zaid yaan ndoo ya lita 20 unaweza ukaivisha condom na isipasuke
Sawa mkuu nimeelewaHuyo single maza ni bomu la baadae
Kwa hio condom zinapasukaMkuu uchi wake mdogo sana halafu ni mkavu hatari
Mara nyingi ni hivo kama kuna sababu nyingine siwez juaKwa hio condom zinapasuka
Ipo siku utakumbuka huu ujinga ulioandika hapa na utajitukana mwenyewe.Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Amesema uwezo hana watamfirisiWaoe wote.
Huyo mwenye tako kubwaNi yupi kati ya hao ukilala nae na ukienda kwenye mishe mambo yanajipa?!
Kwanini post yangu uite ni ujinga mkuu tuheshimianeIpo siku utakumbuka huu ujinga ulioandika hapa na utajitukana mwenyewe.
Hakuna ata mmoja utamuoa hapo, take it from meWakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Tupo...wats happening here🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dronedrake mzabzab
Kuna mwamba anajiuliza hadi mtoa mada anapata mabinti watatu KATAA NDOA wako wapiTupo...wats happening here
Itakuwa ni P huyoTatizo una mawenge
Kwanini mkuuHakuna ata mmoja utamuoa hapo, take it from me
Wakuu hivi dronedrake kapotelea wapi?Tupo...wats happening here
Ndio mkuu kwanini umeuliza??Una chombo cha moto?