Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

kijana,
hatuoi tako wala sura. Sifa ya kwanza ya mke je ni ana hofu ya Mungu? ana huruma na wewe? akishakuwa na hivyo viwili then unaweza angalia hayo mengine ya maumbile.
Achana na single mother ingali wewe huna mtoto/hukuwahi kuoa.
Sasa kati ya wote huyo single mother ndio anaonekana kunipenda kuliko wote japo ni mdogo ana miaka 20 tu
 
Acha ujinga unataka hao wengine akaoe nani?
Piga mimba wote acha ubwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…