Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi?

" Wakaanza kuchat na jamaa hapo ndipo mabadiliko yalipoanzia" mwisho wa kunukuu.
 
Kwa kuwa huwa anajileta mwenyewe, wewe gonga tu papuchi hiyo, papuchi huwa haikataliwi. Ila, USIJARIBU KUMUOA, NI HATARI SANA KWA AFYA YAKO..!!
Kugonga ni hatari zaidi maana hawajulikani wako wangapi wanao share.
 
Ishi na kwa timing mguu moja ndani mguu moja njee
only Kama bado anamuhitaji kwa matumizi ya hapa na pale otherwise... Aache upoyoyo kujifanya yeye ndio anajua kupenda!!
 
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili.

Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae akanishauri tuhame mahali tulipokua tunaishi kwakua ilikua mbali na chuo kilipo anaposomea hivyo tulihama na kusogea karibu na chuo kilipo.

Mie maisha yaliyumba ikafikia wakati wa fildi kwakua ni mgeni hivyo alinipatia barua za kusambaza katika maofisi kwa ajili ya fildi nami nilizisambaza,,, alipigiwa simu kati ya ofisi moja alipoenda akaambiwa subiri kidogo tutakujulisha baada ya hapo wakaanza kuchat na jamaa hapo ofisini ndipo mabadiliko yalipoanzia,,,

Siku moja akaondo ka nyumbani wakasafiri na jamaa kwa siku tatu (3) aliporudi akachukua vitu ndani akahama akaenda kupanga nikamuacha lakini kwakua nilimpenda mawasiano yalirudi akarudi home maisha yakaendelea,,,

Story ni ndefu kwa kifupi ameodoka kwangu na kurudi mara mbili (2) na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya.

Haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado juzi kati alikuja kwangu nikakaa naye kwa wiki moja anadai anataka ni muoe nizae naye ila naogopa matendo yake anaweza rudia tena,,, mpaka sasa tuna mawasiliano.

Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi.
Houston we have a problem...

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado

[emoji121][emoji121]
[emoji28][emoji28]we ni mwehu nenda hospital kwanza afu una miaka 33 sio vzuri kua mjinga ujue ..
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili.

Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae akanishauri tuhame mahali tulipokua tunaishi kwakua ilikua mbali na chuo kilipo anaposomea hivyo tulihama na kusogea karibu na chuo kilipo.

Mie maisha yaliyumba ikafikia wakati wa fildi kwakua ni mgeni hivyo alinipatia barua za kusambaza katika maofisi kwa ajili ya fildi nami nilizisambaza,,, alipigiwa simu kati ya ofisi moja alipoenda akaambiwa subiri kidogo tutakujulisha baada ya hapo wakaanza kuchat na jamaa hapo ofisini ndipo mabadiliko yalipoanzia,,,

Siku moja akaondo ka nyumbani wakasafiri na jamaa kwa siku tatu (3) aliporudi akachukua vitu ndani akahama akaenda kupanga nikamuacha lakini kwakua nilimpenda mawasiano yalirudi akarudi home maisha yakaendelea,,,

Story ni ndefu kwa kifupi ameodoka kwangu na kurudi mara mbili (2) na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya.

Haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado juzi kati alikuja kwangu nikakaa naye kwa wiki moja anadai anataka ni muoe nizae naye ila naogopa matendo yake anaweza rudia tena,,, mpaka sasa tuna mawasiliano.

Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi.
Ungekuwa karibu yangu hakika Kofi Kwanza ndo naanza kuongea na wewe

Huku jicho langu jekundu

Umekosa wanawake wengine

Pumbafaaa
 
duuh kazi ipo
Unaishi Dodoma?
Au ushapima akili mkuu?
 
Aisee we jamaa hujielewi kabisa
 
Huna akili hata kidogo,kama neno field, unaandika fildi!

Hivi kwa akili yako hiyo, mwanamke anaenda hadi anavishwa pete,na bado anarudi kwako na unampokea kweli??

Kwani umekosa mtu mwingine mwenye Elimu zaidi yake? Au unadhani wewe na Elimu yako hiyo,kuoa mwenye Elimu kubwa ni sifa?? Endelea kumpokea hapo kwako! Huyo mwanafunzi ni wa SAUT, hongera kua na demu msomi,anayekuendesha
Field ni kingereza nami nimeandika ujumbe wangu kwa kiswahili kwa nini kuchanganya lugha au kuchanganya lugha ndiyo usomi?
 
Kuna thread nashindwaga nitoe neno gan.
Anyway fanya vile unahisi n sawa kwako
 
Haishangazi kuona wanaume tunapungua kwa speed ya jet hivi hilo ni la kuomba ushauri?
 
Back
Top Bottom