Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Duu! Pole aisee lakini hapo hakuna mke huyo ni machokumchuzi!
Inaoekana ameshakuona wewe ni boya na anaweza kukupelekesha anavyotaka, kaona kamteremko hapo kwako!
Yaani mwaamke aahama kwako awe unajua kabisa kahamia kwa mwanaume mwigine alafu bado anakurudia unampokea!!..Tambua kuwa hadi hapo tayari alishakupangisha foleni na wanaume wengine na kaona unakubaliana na kupangishwa foleni huko, lakini wenzako hawakubali, wanampa kipigo sasa anataka akae na wewe ili aweke kambi kwako na aendelee na ushetani wake bila bugudha!
Kwa ufupi ukimuoa huyo bidada basi jiandae kuendelea kushea na wanaume wengine alokwishajenga nao mahusiano, hilo liweke kabisa kwenye bajet na ujipime kama unaliweza au laa!