Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

kwanza alivyojibu siumeona amejibu kimalaya kimalaya sasa unadhani hapo kuna mtu🤣🤣
 
mwanamke ambaye amelelewa na wazazi hawezi kutoa majibu kama yale Too bad anaamini watu wenye muonekano ndo wanapewa heshima

total ni bitch
.....yaani mwonekano ndio uwe mizani ya thamani ya utu?!!

Hawa ni magonjwa wa Mirembe ariifu ?!! Ha ha ha
 
Kwahiyo muingereza ndo nani hasa hadi umtolee mfano? utumwa huo wa fikra kila mtu ana utaratibu wake kwenye maisha, mimi hata usiponisalimia fresh tu na ukiniuliza swali nakujibu uzuri kabisa,
Salamu ndio nini maisha yenyewe haya ya kuviziana utapeli kila kona.
 
Kusalimia sio lazima yule aliefika baada ndo asalimie hata wewe uliekuepo unaweza kusalimia tu.

Tatizo watu wanapenda kujipa umuhimu wasiokua nao.
 
Hongera sana. Hakika hayo ni mafanikio makubwa kwenye maisha yako. Uliteketeza hela nyingi sana kwenye chips na majuice. Wewe ni mfano wa kuigwa.
 
Ninaheshimu mawazo yako daktari.....

Nimewatolea mfano hao waingereza tu lakini salamu ni kitu cha kujenga urafiki kwa jamii zote duniani...

Maisha kwa ujumla si ya kuviziana na kutapeliana....watu ndio hutapeliwa/kutapeli kwa sababu ya ujinga+tamaa+upumbavu na kutojifunza mbinu mbalimbali za kilimwengu...

Well ,kwa hiyo kwako una hofu ndani ya nafsi yako ukinitolea salamu mimi jirani yako safarini kwenda Shinyanga basi NITAKUVIZIA NA KUKUTAPELI ?!!

Kwani haitoshi tu kusema hello halafu ukapiga "buyu" safari nzima ama tumekutana na maumivu mengi sana (through abuses) kufikia kuwa na POST TRAUMATIC STRESS DISORDER ?!!

Amani kwako daktari Mariposa ,aamin!
 
Kusalimia sio lazima yule aliefika baada ndo asalimie hata wewe uliekuepo unaweza kusalimia tu.

Tatizo watu wanapenda kujipa umuhimu wasiokua nao.
Naam sio lazima mgeni amsalimie mwenyeji hata mwenyeji anaweza msalimia mgeni, jamaa ana shida zake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…