kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
- #101
Ni insecurity nadhani hana muonekano wa kuvutia inamtesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni insecurity nadhani hana muonekano wa kuvutia inamtesa
kwanza alivyojibu siumeona amejibu kimalaya kimalaya sasa unadhani hapo kuna mtu🤣🤣Mtu mstaarabu ambaye anafahamu kuwa kusalimiana kwa watu walio kaa karibu ni uungwana....leo aambiwe ana "inferiorities & insecurities" za kuwa na mwonekano hafifu mbele ya hao "wanyange"?!!
Duuh tuhuma hizi ndizo hizo EGO zenyewe.....
Ukikaa na waingereza hata kama hamjuani na mmekaa karibu utasikia "hello" halafu imekwisha hiyo...ila hawa wazungu-weusi wanajitia kuwadogosha wengine....ha ha ha ha
Ha ha ha ha hakwanza alivyojibu siumeona amejibu kimalaya kimalaya sasa unadhani hapo kuna mtu🤣🤣
mwanamke ambaye amelelewa na wazazi hawezi kutoa majibu kama yale Too bad anaamini watu wenye muonekano ndo wanapewa heshimaHa ha ha ha ha
roho mbaya kivipi mkuuAcha roho mbaya
.....yaani mwonekano ndio uwe mizani ya thamani ya utu?!!mwanamke ambaye amelelewa na wazazi hawezi kutoa majibu kama yale Too bad anaamini watu wenye muonekano ndo wanapewa heshima
total ni bitch
siwezi kushangaa huwa nakutana nao wengi wa aina hiyo wengi double single mother 🫡.....yaani mwonekano ndio uwe mizani ya thamani ya utu?!!
Hawa ni magonjwa wa Mirembe ariifu ?!! Ha ha ha
huyo mnyama gani mkuuDogo domozege
you again
Kwahiyo muingereza ndo nani hasa hadi umtolee mfano? utumwa huo wa fikra kila mtu ana utaratibu wake kwenye maisha, mimi hata usiponisalimia fresh tu na ukiniuliza swali nakujibu uzuri kabisa,Mtu mstaarabu ambaye anafahamu kuwa kusalimiana kwa watu walio kaa karibu ni uungwana....leo aambiwe ana "inferiorities & insecurities" za kuwa na mwonekano hafifu mbele ya hao "wanyange"?!!
Duuh tuhuma hizi ndizo hizo EGO zenyewe.....
Ukikaa na waingereza hata kama hamjuani na mmekaa karibu utasikia "hello" halafu imekwisha hiyo...ila hawa wazungu-weusi wanajitia kuwadogosha wengine....ha ha ha ha
Ameucopy mahali na kakosea kuedit 😂😂😂.Heading (Kyela to Mbeya). Body (Habari za Tunduma). Kijana acha bangi
Kusalimia sio lazima yule aliefika baada ndo asalimie hata wewe uliekuepo unaweza kusalimia tu.Kwahiyo muingereza ndo nani hasa hadi umtolee mfano? utumwa huo wa fikra kila mtu ana utaratibu wake kwenye maisha, mimi hata usiponisalimia fresh tu na ukiniuliza swali nakujibu uzuri kabisa,
Salamu ndio nini maisha yenyewe haya ya kuviziana utapeli kila kona.
Hongera sana. Hakika hayo ni mafanikio makubwa kwenye maisha yako. Uliteketeza hela nyingi sana kwenye chips na majuice. Wewe ni mfano wa kuigwa.unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
Muongo!typing error mkuu ila lete experince yako kutoka kwa hawa maghost wasio salimia
Ninaheshimu mawazo yako daktari.....Kwahiyo muingereza ndo nani hasa hadi umtolee mfano? utumwa huo wa fikra kila mtu ana utaratibu wake kwenye maisha, mimi hata usiponisalimia fresh tu na ukiniuliza swali nakujibu uzuri kabisa,
Salamu ndio nini maisha yenyewe haya ya kuviziana utapeli kila kona.
Naam sio lazima mgeni amsalimie mwenyeji hata mwenyeji anaweza msalimia mgeni, jamaa ana shida zake tuKusalimia sio lazima yule aliefika baada ndo asalimie hata wewe uliekuepo unaweza kusalimia tu.
Tatizo watu wanapenda kujipa umuhimu wasiokua nao.