Nisipoyasikia haya ndani ya dakika 30 tu za Hotuba yake Mama 'Dodomya' nazima Tv / Redio kwa 'Hasira'

Chadema waende mahakamani Tu
Sisi tumuombe Mama asiingilie Bunge wala mahakama
Binafsi, sioni sababu ya CDM kwenda Mahakamani, kama bado msimamo wao ni kutopeleka watu wao huko Bungeni. Itakuwa ni ROHO MBAYA tu. Wao, kama chama walimaliza kwa kuwafuta uanachama. Kama, wameshawaandaa wa kuwapeleka, basi wapeleke hayo majina. Iwe kazi kwa mamlaka, kutambua ni wepi waliopelekwa huko, kwa baraka za Chama. Wasipowatambua, basi hapo, waende huko Mahakamani, na nina imani watashinda!
 
Kwenye namba tano hapo unataka warudishe makasino ya mbowe akauze unga ili upate mzunguko?
 
unaangalia Tv wapi?


ukizima watu watakuchukuliaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI NAONA HAWA CHADEMA WANA UCHU SANA WA KUWA WABUNGE ILHARI WALISHINDWA KWENYE KURA BASI WAJIITE TU NAO WABUNGE WAJENGE NYUMABA WAIITE BUNGE WAWE WANAENDA KUKUTANA HUMO
Mungu aoneye siri anakuona mpaka ndani ya moyo wako,anaona ulivyo na roho mbaya na yakikatili,anaona unafiki wa moyo wako.Nami kama mtumishi wa Mungu ninaomba kama ilivyokuwa kwa wenye moyo mchafu kama wa kwako na Mwendazake,Mfuatane wote
 
Namba 7 tupopamoja mkuu hayo mengine pambana na haliyako.
 
Mzee zima tv kama una timer ishapita sasa zima
 
Msitegemee maajabu sana kwenye hotuba ya Mama. Tiyari alisha declare interest mapema kabisa kwamba yeye hana tofauti na Mwendazake Jiwe.
Hakika, nami naliwazia hilo
 
Mkuu dakika ya 25 sasa hajataja hata moja🤔🤔🤔
 
Sheria ipi hiyo Mkuu inayoruhusu watu kufanya forgery kwenye forms husika kinyume na matakwa ya chama chao. Msekwa alishasema huwezi kuwa Mbunge Tanzania kama si mwanachama wa chama cha siasa na hao 19 kwa sasa si Wanachama wa chama chochote cha siasa hivyo Katiba haiwaruhusu kuwepo mjengoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…