Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mkuu Kuna fursa gani uko katika harakati za kubeba boxUkriane nilitoka 2019 now niko lativia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kuna fursa gani uko katika harakati za kubeba boxUkriane nilitoka 2019 now niko lativia
Hajambo..anakusalimiaA
Asanteee yna , Angelo mzima? Vipi maria amour ?
Awekwe picha ya kubambia na sio hizi za mtandaoniHuu uzi bila ya kapicha ka msweden akiwa nawewe location fulani huku mkionesha tabasamu ni batili!
Dah shekh embu okota 👊Habari zenu bwana mko salama ?
Nimewapa taarifa nafurahia sana
Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu
Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize
Upsala University
Karibuni.
Itafanyika Bukoba TANZANIA
Hatua nilizopitia mpaka kufika Ukraine, na bado niko njiani kwenda nchi ya ahadi Norway
Hello wakuu habari za siku mbili tatu, Jamani mimi ni kijana Mtanzania ambaye nimekulia Tanzania, nimesomea shule zote Tanzania mpaka elimu ya chuo kikuu. Kwa bahati mbaya sikumaliza mwaka wangu wa mwishoni wa chuo kikuu kutokana na tatizo la ada maana mimi ni miongoni mwa vijana ambao...www.jamiiforums.com
View attachment 2224567
Mungu mwemaView attachment 2224570View attachment 2224571
Tugende maki kuleba omgoleEeeh kyoma Olige. ..mayo mayo!
Upo Sweden mkuu? Angalia ndoa zao ni Tata Sana mkuu usije pelekeshwa.Wasweed siyo flat sanaaaa ila kamzigo kapo