Nisiwanyime taarifa Tarehe 17/06/2022 Ninafungua ndoa na Msweden (Mswidi)

Nisiwanyime taarifa Tarehe 17/06/2022 Ninafungua ndoa na Msweden (Mswidi)

Habari zenu bwana mko salama ?

Nimewapa taarifa nafurahia sana

Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu

Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize

Upsala University


Karibuni.

Itafanyika Bukoba TANZANIA



View attachment 2224567
Mungu mwemaView attachment 2224570View attachment 2224571

Huyu sindio yule wa bang bros
 
Kila la kheri mkuu...!

Dunia Kijiji...!
 
Hiyo Ndoa uliifungia wapi?
Na unaifungulia wapi mkuu?
Kwanini umeamua kuifungua?
 
Vitu vingine mnajitesa tu
Kama utaishi naye huku bongo bukoba atakushinda tu,
Ataweza kufua,kupika, ndizi,kufagia nyumba na usafi mwengine plus gubu la wakwe na mawifi mbona atakushinda?
 
Back
Top Bottom