Nisiwanyime taarifa Tarehe 17/06/2022 Ninafungua ndoa na Msweden (Mswidi)

Nisiwanyime taarifa Tarehe 17/06/2022 Ninafungua ndoa na Msweden (Mswidi)

Habari zenu bwana mko salama ?

Nimewapa taarifa nafurahia sana

Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu

Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize

Upsala University


Karibuni.

Itafanyika Bukoba TANZANIA



View attachment 2224567
Mungu mwemaView attachment 2224570View attachment 2224571

Msweden (Mswidi) anakuoa Sema hivyo:​

 
mkuuuuu.hongera sana umetimiza ndoto yako mimi kuoa naoa mwanamke mtanzania but nimewala,wazungu wachina waaarabu nikiwa masomoni univ of Hong Kong
 
Back
Top Bottom