Nisiwanyime taarifa Tarehe 17/06/2022 Ninafungua ndoa na Msweden (Mswidi)


Huyu sindio yule wa bang bros
 
Kila la kheri mkuu...!

Dunia Kijiji...!
 
Hiyo Ndoa uliifungia wapi?
Na unaifungulia wapi mkuu?
Kwanini umeamua kuifungua?
 
Wahaya republic

Hongera,,, tuwakilishe vyema..
 
Vitu vingine mnajitesa tu
Kama utaishi naye huku bongo bukoba atakushinda tu,
Ataweza kufua,kupika, ndizi,kufagia nyumba na usafi mwengine plus gubu la wakwe na mawifi mbona atakushinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…