Ist ile mpya haina dashboard kati, ila hata mie nachukia sana dashboard kuwa kati, halafu sina sababu , i hate rumion kwa sababu hizo hizo piaYes. ninaelewa hayo yete mkuu ila linapokuja suala la gari kuwa na dashboard katikati mithili ya tractor au pikipiki, mimi naishiwa hamu kabisaa...
Magari yafuatayo siyaapendi hata kidogo kisa tu yana dash katikati..
IST, Vitz zote,Rumion,Sienta, Platz,Raumu,Prius na Nissan X Trail First generation..
Halafu toyota anaonekana ni legendary wa kuzalisha magari yenye dashboard kati kati...
Nachukia sijui kwa nini...
Hahaa..[emoji23][emoji23]vile dash board inafanana na ndege..Sasa mkuu sisi tunaozimiliki tunaziita ndege za ardhini
Nissan Jux au sioWanaiga sanahao toyota. kunatangazo niliona nikaamini nisan juks ile nashangaa ni toyota wameiga mfano wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Vijana wa mjini sasa wanavyozipenda hizo rumion, umkute kavaa na yale maviatu ya crocs na kaptula za kubana halafu akishuka anauninginiza ufunguo kwenye kaptula hapo anakuwa ameyaweza maisha kwa 100%
Mbayaaa aaaaagh[emoji36][emoji36][emoji36][emoji57]Designers wa toyota sijui wanawaza niniView attachment 1805952View attachment 1805953
Very true...na Nissan haizingui kabisa kama unafata procedure zote za serviceTukiachana na unazi wa kushabikia Toyota Ila Kwa kifupi Magari Yao mengi Yana design mbaya Sana kuanzia exterior na interior design.....hawa jamaa tunawakibali Kwenye engine na gear box.
Nissan Tu ndiyo wako vizuri Kwa kila kitu Kwa Magari ya japan
Kwa body na interior design Nissan hana mpinzani
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Tatizo wa wenye vigari vidogo mnadhani kila mwenye gari kubwa yupo kushindana.
Mtu ana ki ist anakwambia amempita lc200 kama kasimama.
Toyota crown ni balaa ndaniHahaa..[emoji23][emoji23]vile dash board inafanana na ndege..
kibongo bongo kwa sasa ndege ya ardhini kutoka Japan ni
Toyota crown na Nissan Fuga.
Ulaya ndege zipo nyingi sana..
Mi napenda BMW X6 ....Twin unapenda gari gani?? mimi Sina hela tu ila nazipenda Fortuner sana!!!
Ahaaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora hiyo maana ile Toyota Cube ni kama toroli iliyowekewa body,[emoji3][emoji3][emoji3]
US influence....just like Navara Euro influence.Ya kibabe sana...utadhani si gari ya Mjapan
Naam kunatoyota yake hiyoNissan Jux au sio
😆😆😆Ila Mimi naona Toyota model hazina Sura za kuvutia yaani angalau Nissan wako vizuri Kwenye design ya Magari....hapa Tanzania kuna Toyota BB, Porte na wills haya Magari nashindwa kuelewa Toyota waliwaza nini
Haina tofauti sana na bbRumion iko vizuri Sana mkuu, huwezi kufaninisha na Porte.....ebu check Kwanza hiyo ndinga ilivyotulia
View attachment 1805921
Mi napenda BMW X6 ....
Asee hilo ndinga naomba Mungu bariki after 3 yrs from now niwe nimeimiliki hata kama imepitwa na wakati[emoji848]
Kuna raia wa nje hapa job ( mswedish) analimiliki mpyaa, sasa tukawa marafiki, ( nilikuwa namfundisha kuzijua barabara za kibongo ) Kuna siku nikamuomba anipe nidrive nipate baraka ya kulimiki! Akaniazima siku ya jumapili asubuhi ila asubuhi j3 ofisini chap nihakikishe nimelipaki atalikuta[emoji122][emoji122][emoji122]
(Wazungu sijui gari wanaona kitu gani yaan just normal sio kama wabongo)
Asee Twin, sijawahi kupata raha kama niliyoipata siku hiyo, yaan niliona kama napaa mbinguni[emoji1787][emoji1787]
Lile gari ni tamu jamani afuu, muziki wake sasa mamaaaa nilihisi malaika kanibeba ananipaisha mbinguni bila kuonja kifoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So twin niombee niubebe huu mndinga[emoji120][emoji120]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Gari za Toyota zinazo kuja Huku si za Serikali na mashirika? Kama wapo wachache sana wanaoenda na Design za kisasa na kununua Gari mpya za Toyota.Ila Mimi naona Toyota model hazina Sura za kuvutia yaani angalau Nissan wako vizuri Kwenye design ya Magari....hapa Tanzania kuna Toyota BB, Porte na wills haya Magari nashindwa kuelewa Toyota waliwaza nini
Mafuta si tatizo la gari, ni tatizo la kipato cha mmiliki.Kioo kipo kati na mbele ni katikati sisi hatuoni tatizo,Tatizo ni pale unagari kubwa halafu rumioni inakupita na mjini mafuta wako.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Imekaa Kama Kinu kilicholazwa chiniRumion iko vizuri Sana mkuu, huwezi kufaninisha na Porte.....ebu check Kwanza hiyo ndinga ilivyotulia
View attachment 1805921