mkuu elezea kidogo..mfano kitu gani kikiharibika na bei yake!! naitaji kujua na fuel consumption yakeMimi namiliki Nissan Dualis 2008. What I can say ni it’s the best purchase I have ever made. Gari liko smooth on the road, posh inside yaani na ukipata ile ya rooftop kuwa na glass yaani ni kama unaendesha evogue. Pia iko juu sana. Nina kama mwaka sasa niko na hili gari, changamoto zake ni spare ni VERY EXPENSIVE...
si unaona hata jina Murano it sounds more of a lady nameMurano imekaa kike-kike
Nenda website hii spareto.com naamini utaipata hio spare unayoitafutaNissan gari ya starehe kiaina ukilinganisha na Toyota ila ujipange spea. Nimetafuta shock-up za Nissan Fuga mpaka duka wanaita MasterCard nimeambiwa hawana labda niagize nje. Beforward Bei imechangamka Sana. Najuta kuifahamu Nissan
Kwanini unasema hivyo mdau ama kwavile ni gari zinazopatikana kwa wingi ?Humu uliza habari za ist, passo, spacio nk utapelekwa mpaka nyumbani kuonyeshwa
Kwanini unasema hivyo mdau ama kwavile ni gari zinazopatikana kwa wingi ?
Unachokiongea nikweli kabisaNdio mkuu.. na watanzania wengi ukiwauliza gari yoyote nje ya hizo watakuambia hiyo gari usinunue ni "pasua kichwa". Matokeo yake Watanzania wamekua waoga sana kununua gari tofauti na hizo walizozizoea na kwa sasa nchi nzima magari ni uniform.
Unachokiongea nikweli kabisa
Kweli kabisa atamimi nipo rafiki yangu alinunua kampuni tofauti na Toyota paka leo unaenda mwaka wa 6 hajawahi kubadilisha spear zaidi ya service ya kumwaga oilMkuu naongea kwa uzoefu. Wakati nimenunua gari yangu ambayo sio toyota, watu walinishangaa sana.. kuna jamaa alidiriki kunifata kabisa akaniambia aisee umeingia choo cha kike! Akaniambia hiyo sio gari bora ungenunua (akanitajia rundo la magari ya toyota)...
Toyota ARV4?Mkuu naongea kwa uzoefu. Wakati nimenunua gari yangu ambayo sio toyota, watu walinishangaa sana.. kuna jamaa alidiriki kunifata kabisa akaniambia aisee umeingia choo cha kike! Akaniambia hiyo sio gari bora ungenunua (akanitajia rundo la magari ya toyota)...
Ndio nini umeandika hiki!?Nissan ni kama simu za samsung, hizo ni gari za kiduwanzi sana ukinunua leo baada ya mwezi utakuja kuuza robo bei. Hiyo dualis mwaka jana ilikua ni milioni 23 -28 milioni, Nissan Qashqai iilikua 34-38 soko la leo ukiagiza japan mpaka kuiingiza barabarani dualis ni 12-14 milioni Qashqai ni 18M-20M. Extrail mpaka milioni 8 unapata kudaadeki gari gan hizo? Bado service yake ni gharama sana.
Mkuu naongea kwa uzoefu. Wakati nimenunua gari yangu ambayo sio toyota, watu walinishangaa sana.. kuna jamaa alidiriki kunifata kabisa akaniambia aisee umeingia choo cha kike! Akaniambia hiyo sio gari bora ungenunua (akanitajia rundo la magari ya toyota)...
Kweli kabisa atamimi nipo rafiki yangu alinunua kampuni tofauti na Toyota paka leo unaenda mwaka wa 6 hajawahi kubadilisha spear zaidi ya service ya kumwaga oil