Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

Ni vizuri ambao hamna uzoefu na nissan mkae kimya! Mliozoea service za chini ya muembe wakati dunia ya diagnostic mashine mtulie, Nissan spare genuine zina bei na ni hali ya kawaida

Tuache generalisation ya vitu, alafu sio kila anayenunua kakuambia anataka aliuze soon, toa technical info umsaidie mtu mapokeo yako kaa nayo! Kwani lazima wote tuwe toyota?
 
General conclusion,
Gari lolote ni matunzo na kulijali..

kaNISSAN kangu sasa kana miaka 6 na miezi 2..[emoji38]
Mile age inasoma 157,600..[emoji28] and the car Is running smoothly..

Kuna IST za washkaji zina less than 50,000 km.....lakini zinanguruma kama TATA..[emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu unashauri vipi kwa mtu ambaye hana uzoefu na magari au ambaye ndio anaanza kununua gari ya kwanza hizo jamii za Nissan atazimudu?
 
Unalimiliki Mkuu? Tunaotumia nissan miaka na miaka tunakuangalia tu!
....mkuu tatizo unakuta mtu anatoa negative feedback ya gari ambayo hajawahi kumiliki....

Ubovu wa gari siku zote unategwmea wallet ya mtu kama ina pesa au laa..[emoji38][emoji38]
 
Mwambie huyo jamaa maana hajawaza interms of monetary value. Anawaza gari kama gari. Gari lazma iwe na resale value kubwa na ndo thamani ya gari inavyo pimwa. Kwenye post yangu Nilitoa mfano wasimu Leo iphone X lazma ununue kwa milioni moja laki tatu na Samsung note 9 note 8 hata kwa laki 3 unapata wakati simu zote zilitoka kipindi kimoja kwa bei linganifu. Leo toyota ist inathamani kubwa kuliko nissan xtrail pamoja na ukubwa wote ule, ist haiji kushuka thamani. When you choose a car angalia market value
Kiuchumi tunaita LIQUIDITY, an easy the asset can be sold or exchange with other asset. Well said mkuu
 
Habarini ndugu, nilikuwa na mpango wa kununua gari aina ya IST, ghfla nimetoka kuvutiwa sana na izi gari aina ya nissan dualis, nikaona ngoja kwanza niwashirikishe ndugu zangu humu ili kujua changamoto na faida za izo gari, ili kama itakuwa njema basi niendelee kujiongeza kuzichanga ninunue iyo gari karibuni sana?

Car: Nissan Dualis
Year: 2008
Cc: 1990
 
Very comfy😋!
 
Ni gari nzuri ina power na speed ila mafuta inameza haswa.
 
Habarini ndugu, nilikuwa na mpango wa kununua gari aina ya IST, ghfla nimetoka kuvutiwa sana na izi gari aina ya nissan dualis, nikaona ngoja kwanza niwashirikishe ndugu zangu humu ili kujua changamoto na faida za izo gari, ili kama itakuwa njema basi niendelee kujiongeza kuzichanga ninunue iyo gari karibuni sana?

Car: Nissan Dualis
Year: 2008
Cc: 1990
Kama wewe ni fukara usinunue Nissan Dualis kwa sababu utachakaa zaidi!
 
Sasa mimi ni mpenzi mkubwa wa Nissan, tema Murano. Ninaimiliki ila imenitesa sana sio kidogo ila imekuja kutulia hadi nashangaa.
Ipo hv, nilipoinunua hii gari sikupata shida. Siku moja nikampa fundi anifanyie service ya oil ya gear box na Engine. Fundi akanunua oil ya Puma(manjis Arusha) badala ya Matic J(Murano inatumia matic). Akaweka hiyo oil na mimi sikujua. Baada ya kama mwezi mmoja tu gia ya rivers ikaanza kuwa haikubali gari ikipata moto. Yani ilianza kelele hapo. Mimi sikujua shida ni nini. Gari ilinisumbua sana kama miezi 4-6 nateseka tu. Mara ikaanza kuwa inazima tu yenyewe, mara inaua coil, mara betri inakufa kwa muda mfupi. Nimetembeza karibu garage zote Arusha, niliwasiliana na mafundi wa dar nao vilaza tu. Diagnosis machine nazo zinataja codes ambazo hata uki Google inaeleza vingine. Nikibadilisha control box, coil zote, pulgs zote bila muafaka. Hadi pump ya mafuta niliweka mpya ila gari hamna kitu. Nilitokea kuichukia sana. Nilibadili hadi camshaft sensor, crankshaft sensor, oxygen sensor ila bado hamna kitu.
Katika kutafuta msaada nikakutana na fundi mmoja akaniambia hii gari imeua sensor kwenye gia box na imewekwa oil ambayo sio yake. Akaniambia tatizo hapo ni gear box tu hmhamna kingine, nilishindwa kumuamini ila mwisho wa siku ilibidi nimuamini. Akaniambia nimpe hizo sensor zote coil na vifaa vya zamani avirudishie vyote halafu tuagize gear box nyingine(alinishauri kuwa gear box haifai kutengeneza) wakuu nialiagiza gear box, akafunga, akarudisha vile vifaa vyake vya zamani vyote. Hadi lei gari imetulia na sikuamini kama ni ile Murano iliyokuwa inawasha taa zote ukianzia na check engine.
Conclusion ni kuwa magari ya Nissan sio mabaya bali mafundi wetu elimu chenga. Na bei za vifaa mafundi ndio wanapandisha.
Nissan murano ni gari comfortable sana na ni nzuri ukiitunza na kuipa vitu vyake original
 
Sasa hizo gharama zote si ungeagiza mpya tu?
 
Habarini ndugu, nilikuwa na mpango wa kununua gari aina ya IST, ghfla nimetoka kuvutiwa sana na izi gari aina ya nissan dualis, nikaona ngoja kwanza niwashirikishe ndugu zangu humu ili kujua changamoto na faida za izo gari, ili kama itakuwa njema basi niendelee kujiongeza kuzichanga ninunue iyo gari karibuni sana?

Car: Nissan Dualis
Year: 2008
Cc: 1990
Kama hii ndio gari yako ya kwanza kutaka kununua na unataka gari ya mizunguko ya kawaida mjini, basi nunua IST. Narudia tena nunua IST.

Dualis inawafaa wababe wa magari kidogo hususani wazoefu. Ni SUV, iko comfortable na muonekano mzuri lakini ina gharama zaidi katika kuihudumia.
 
Kama hutaki mbwembwe, huna mambo mengi, mtu wa mizunguko ya mjini na mzalendo wa uchumi wa kati(mnyonge!), gari ya Toyota IST ndio best choice kwa sasa.
 
Back
Top Bottom