Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

Duh, parefu mno! Ila mjifunze kuaiza vitu kutoka nje , ni rahisi sana huko kuliko kupangiwa matokeo na viduka vya usiku hapa bongo.

Shock moja laki sita, hiyo gari naweza kusema ni Kama haitengenezeki,
Kuagiza ndo maumivu zaidi Bora kilenga kwenye maduka ya Wapemba Ilala
 
Naomba mawasiliano ya huyo fundi plz
 
Mbona una compare vitu havifanani? X trail ni mini suv na prado ni SUV kamili. X trail labda na Harrier. Pia huwezi compare Dualis na Rav 4 ni gari tofauti sana
 
Toyota zinazosifiwa zimejaa sana garadge, vipuli ni vingi sababu vina faida kutokana na mzunguko wake kuwa mkubwa, mmiliki ananunua mara kwa mara.
 
Umepambana...
Wanaume tupo obsessed na magari yetu sana.
 
jaman nafikilia kuinunua hii gari lakn sijaifahamu vizur. cjafahamu ulaji wake wa mafuta i mean kwa lita moja inatembea km ngapi? tatizo lake sugu ni lipi na uzur wake ni upi? bado naumiza kichwa kupata majibu sahihi.
 
Kama ni gari lako la kwanza naomba stick kwenye Toyota,utapata experience nzuri na utajifunza kuhandle magari ikiwemo service n.k

Consumption ni 9 ~11km/l ila inajiuza kwa looks na design na siyo consumption wala perfomance.

In short huyu ni 'City Darling' hataki shida..
 
thanx nimekusoma bro
 
jaman nafikilia kuinunua hii gari lakn sijaifahamu vizur. cjafahamu ulaji wake wa mafuta i mean kwa lita moja inatembea km ngapi? tatizo lake sugu ni lipi na uzur wake ni upi? bado naumiza kichwa kupata majibu sahihi.
Tatizo lake kubwa hasa ni expensive kuimaintain...kuanzia spares, kufanya service. Ni pasua kichwa sana aisee ukiwa careless na hii gari. Inataka kubembelezwa, haitaki violence kabisa
 
Lami tu. Ukiipeleka rough road umeiua
 
jaman nafikilia kuinunua hii gari lakn sijaifahamu vizur. cjafahamu ulaji wake wa mafuta i mean kwa lita moja inatembea km ngapi? tatizo lake sugu ni lipi na uzur wake ni upi? bado naumiza kichwa kupata majibu sahihi.
1litre = 13.5 hadi 15 km depending on the driving conditions and the car service state.
 
Hiyo labda kama haipo vema iliyovema inakupa 1litre = 13.5 hadi 15 km
 
Tatizo lake kubwa hasa ni expensive kuimaintain...kuanzia spares, kufanya service. Ni pasua kichwa sana aisee ukiwa careless na hii gari. Inataka kubembelezwa, haitaki violence kabisa
Unaweza kunipa list ya hizo gharama kwasababu me sijaziona na ninatumia hiyo gari kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…