Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

Kwani kuna tofauti gani ya CVT gearbox oil ya Castrol na hiyo usemayo? Pia je unaweza weka picha yake hapa?
 
Bro umesema safi sanaa.
Watu kama nyie ndo tuna wahitaji humu.

Mi ndo gari yangu,Sijalala mpaka sasa hivi hapa tangu niione ile ilio waka moto.
Maana nimenunua na week 2 tu.
Na mkopo wenyewe una riba ndefu.

Yaani ni stupid things.
Kwakua ni loan..hiyo isikupe shida maana utakua umelipia bima comprehensive (only if kama umenunua gari under asset financing arrangements na financial service provider wako/banker wako) but kama umechukua personal loan then ndo ukachukua gari probably huna obligation ya kulipia comprehensive insurance but still ni muhimu kulipia comprehensive insurance tena uweke na excess buyback ili usipate majanga ya kua compensated huku waki less 300,000(+) na kumbuka ajali nyingi ndogo ndogo DSM costs zake zina range humo kwenye hiyo pesa, so ukiweka excess buyback kwenye insurance policy yako..basi uta claim compensation hata kitu cha elfu 10,000.
 
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu nyingine zinazochangia hata bei yake kushuka.
Mkuu! Huwa hatutamani vitu vya kufanana kabisa hata viwe vizuri kiasi gani lazima tutavitoa kasoro hivyo huwa tunatamani kuwa ni lazima viwe SIMILAR BUT DIFFERENCE, sasa nikuulize hiyo duallis inakuja na mapungufu gani a part 4rm manufacture!!? Aya tuseme umetaka smart screen na mziki, sio kesi ila unakuta jitu lime badili taa na hata huo mziki umefungwa na cheap wire kama zote na bado kuna modification za headlamp na tail'lamp ila ukimwambia mtu vitu hivyo ndio vina7babisha kuungua gari aamini! Mchina analeta system zinazo fanana na original kwa rangi ila c uhalisia! Mfano wire_ ili iwe origina iwe copper sasa unauziwa za aluminium kama za copper ila huwezi tofautisha rangi na matatizo ndio hua yanaanzia hapa! Kusahihishwa ruksa kama kuna mahala nimeteleza ila ndivyo ninavyo jua[emoji848]
 
Hapa ni pa muhimu, inabidi unitandike darasa, yaani ufafanue vizuri kama upo unatoa somo darasani ili niinyake!
 
Kwani kuna tofauti gani ya CVT gearbox oil ya Castrol na hiyo usemayo? Pia je unaweza weka picha yake hapa?
Sina uhakika kama nimelielewa swali but..kila gear box ya automatic ipo na specific fluid za kutumia ambazo zipo recommended na manufacturer, sasa kwa gear box ya Cvt unaweka cvt transmission fluid ambayo manufacturer kasema. Sasa kuna CVT za honda, Toyota, Nissan, Mitsubishi. Etc, kila mmoja anafluid yake, but kwa case ya Toyota yeye kwenye cvt ana CVT-TC na nyingine jina limentoka but i think ni WS inayotumika kwenye gari kama crown... Sasa sijawahi kuona transmission fluid ya Castrol unayofanya kazi kwenye any cvt transmission application ya Any manufacturer except nimeona tu kwenye normal ATF cars (na kwenyewe inawekwa kimakosa)

Sasa endapo utaweka Castrol transmission fluid kwenye cvt applications basi ni swala la muda tu lazima gearbox yako ife.
 
Kaka mi Dualis yangu niliagiza kutoka Japan ikiwa na Kilomita 62k na sikubadili Transmission fluid mpaka sasa ina Read 92k kilomita.

Vipi una nishauri vipi.
Na week ijayo nampango wa kumwaga Engine Oil.
Na Engine oil huwa na mwaga kila baada ya kilomita 5000. Natumia Nisan Oil.
 
Ok. Ndo nlitaka nione hiyo CVT- TC na CVT-WS kama una picha zake. Au unanunua wapi ili tusinunue fake.
 
Sina uhakika na mazingira ya uendeshaji wako but kama ni uendeshaji wa kawaida badili ukifika hata 110,000km ila tu wakati wa kumwaga pima fluid itayotoka kwenye gearbox then uweke amount hiyohiyo iliyotoka...(vitaingia vikopo viwili vya transmission fluid,kimoja kitaisha kingine utatumia kama lita moja).

Kuhusu engine, sina shida na engine ya MR 20 5000 km ni interval nzuri ya kuchange oil..asije mtu akakushika masikio na kukuambia kuna oil za engine zinatembea km 10,000....usije jaribu..
 
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu nyingine zinazochangia hata bei yake kushuka.
Hatuna ufahamu wa kutosha kuhusu magari! Hata hivyo model nyingi za Nissan ni VIMEO
 
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu nyingine zinazochangia hata bei yake kushuka.
Hatuna ufahamu wa kutosha kuhusu magari! Hata hivyo model nyingi za Nissan ni VIMEO
 
Umeeleza vizuri, fundi maiko atapita hapa kimya kama hajaona.

Hivi hatuwezi kuwa ma ma specialist kwenye gari? Kwamba gari aina fulani zinatengenezewa gereji fulani, na hiyo gereji hawapokei gari aina nyingine?

Hospital ukiwa unaumwa lazima uonane na dr husika, ila kwenye hizi gereji za kibongo wanapokea kila aina ya gari mimi nadhani shida inaanzia hapo.
 
Alafu Kingine Wajapan Wanaweza toa model za Gari ata 8 au zaidi Engine ni aina moja. Wanaweka tofauti kidogo sana! Sisi huku ni Jalala Tunaletewa tu no quality no Support
Hapo tuwalaumu mababu zetu ndio waliotuuza na kupelekea hadi leo mtu mweusi anadhaulika kwa watu weupe wote. Ukiwa na msimamo hata weusi wenzako wanakugeka na kuwa upande wa wazungu. Ndio maana unaona huku Afika mwenye uwezo wa kununua gari jupya ni tajiri tu, wakat kwa wazungu mtu ananunua gari jipya tena bei chee.

Hata kiwanda cha gari kiwe hapa amini hutaweza kununua gari jipya taka usitake labda uwe tajiri
 
Chukua million 13 yako haraka kabla wabongo hatujaziua kama ilivyo kwa honda. Gari za hovyo za Japan kwa ishu za umeme ni Honda na Nissan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]....tena awahi mapema sana
 
Aisee changamoto sana, mzee ana nissan patrol bwna linapiga mzigo hadi leo gari alinunua mwaka 2004, hizi dualis ni mfumo wake tu wenyewe ndo mbovu au mafundi nao ndo hawaelewi namna yakutengeneza hizi gari?
Zamani Design, Tests zilikuwa zinafanywa manual so makosa yalikuwa hayapo. Sasa hivi kila kitu ni Computer Aided Design, Computer Aided Manufacturing. Sio Gari tu , Madawa ya Binadamu tatizo, Iphone 14 Zenyewe zinakutwa na matatizo kila kukicha. Ulaya na USA wapo makini sana na ishu za usalama wa Watu wao so wantest na kufuatilia ishu za hizi gari. Sisi huku kwanza tunatumia mitumba so akuna anaejali. Tunaishi kwa Kudra za Mwenyezi Mungu
 
Wapo Mafundi wanaojua ata jinisi ya Kurekebisha hizo tatizo na hapa JF tuna Fundi mzuri mbobezi wa hizi ishu, worry not , ukimwitaji ni PM nikupe ID yake umcheck ana Gereji yake Mwenge na habahatishi yupo vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…