Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

Nimepata elimu kubwa kupitia maelezo yako. Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na moyo wa kutoa kile ulichojaliwa kuwa nacho. Nilikuwa sina idea juu ya Transmission Fluid lkn sasa nimekuwa Mwl kwa wengine kupitia maelezo yako. Asante Sana. Stay Blessed.
 

Under normal driving conditions do not change ATF. Hii sentensi huwaga watu hawaelewi, fundi anakwambia ukimwaga engine oil mara ya pili ya tatu mwaga na gearbox oil. Ovyo kabisa sisi wabongo. Bro ume elezea point zako vzuri sana na huu ndo ukweli.
 
Fundi Chidi anakwambia ukibadili oil ya engine mara 3 ya 4 ndio unabadili oil ya gearbox tena. 😀

Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa kila baada ya kilometre 10,000 unabadilisha transmission fluid. Ni ukichaa
Hahahaha 😆😅😂🤣🤣
Nimecheka Sana, umenikumbusha fundi wangu mitaa gerezani aliniambia hivyohivyo nilicheka Sana ikabidi Mimi niwe fundi wake nakuanza kumpa elimu juu ya gearbox oil
 
Mshaanza mafundi maiko.
Teknolojia muwezi mnaaishia Kubahatisha tu. Kuna fundi kakorofisha Alphad mpaka ijitambui nikiwasha inafungua vioo.
Kesho namdamkia tumalizane hajui uchungu wa kununua gari
Dah[emoji23]
 
Hahahaha 😆😅😂🤣🤣
Nimecheka Sana, umenikumbusha fundi wangu mitaa gerezani aliniambia hivyohivyo nilicheka Sana ikabidi Mimi niwe fundi wake nakuanza kumpa elimu juu ya gearbox oil
Mafundi wetu ambao wanafanya vitu bila logic. Nawaza tu maisha yangekuwa kama ilivyokuwa mwaka 1998 leo gari zingekuwa zinakufa vibaya mno.

Internet inasaidia sana.
 
Kwani hayo mamiziki na mataa inafungwa dualis peke yakee, kwa x trail haifungwi, w kama unalo komaa nalo maana hata ukisema uliuze utakula tu hasara.
 
Kwani hayo mamiziki na mataa inafungwa dualis peke yakee, kwa x trail haifungwi, w kama unalo komaa nalo maana hata ukisema uliuze utakula tu hasara.
Ndiyo mkuu, ninalo.

Ila sikulinunua ili niliuze.

Nalipenda sana...

Ni gari zuri, tofauti na uongo linaozushiwa hapa!
 
Acha tuu kaka.
Hiyo Gear box ni shingap nijipange mapema tuu.
Maana kila mwana Jf kilio ni Gear box
 
Head rest ni hiki kiegemeo au ni kifaa gani?
Kiegemeo cha kichwa. Kichomoe. Kule chini kuna tuvyuma ambato unaweza jaribu kugongea kioo chako ukiwa kwa ndani. Jaribu uone kama umeweza kufanikiwa. Chomoa. Gonga kioo chako kwa juu. Kimeshuka?bado? Gonga tena mpaka kishuke.hapo utakuwa umefanikiwa.
 
Hatuna ufahamu wa kutosha kuhusu magari! Hata hivyo model nyingi za Nissan ni VIMEO
Broo hujachangia maada kitaalam tupo gereji tunaona mafundi wanachofanya kwa hiio Benz,Audi,rover,jeep, na other american and Europe brand wanatengeneza gari mbovu swali linakuja gar nyingi in mtumba na inafika nzima changamoto inaanzia wap utagundua
1.ushamba wa mtumiaji
2.mafundi
chunguza utanambia haiwezekani ukafany installation ya sound system ya watts 1000 kwa power supply ile ile
 
Nissan patrol ndio toleo ambalo walipatia hayo mengine ni kichefuchefu tupu
Sio toleo ambalo walipatia bali Patrool ni workhorse. Imetengenezwa kwa ajili ya kazi hasa ile Nissan Y60! Mle hamna urembo zaidi ni basic functions tu, redio, ac, taa, wiper!
Engine ni fuel injection tu, haina mbwembwe za sensor.

Ila haya matoleo mengine ya Nissan za kibishoo zenye airbags, sensor kibao ndio yenye balaa la kuungua ungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…