Nissan Dualis zitajiondoa zenyewe sokoni

Mshana Jr umesahau na jeshi la polisi waliingizwa chaka kununua Hyundai Saloon za polisi vilijifia mapema sana vile vigari
Si ndio hizi Sonata!?๐Ÿ˜€View attachment 3088302
Mnyama BM mpaka umpindue ama alipuke tu mwenyewe ujue umefanya Kazi kubwa mno.. Lakini DUALIS chap kwa haraka kama kumsukuma tena๐Ÿคฃ
Juke gari kali sana
Engine nyanya halafu haina nguvu
 
Hahaha ndiyo hivi mkuu, oyaa hamna gari humo
Hii nchi tumepigwa na vingi mno๐Ÿ˜ญ
 
Mwaka 95 serikali ilipigwana kitu kuzito ilipinunua Beijing Jeep kwa ajili ya uchaguzi.
Hawakuishia hapo, Mahita alipoingia madarakani wakakolpa Hyundai kwa ajili ya polisi, ndani ya miaka miwili hazikuonekana barabarani.
Kuna kipindi tukinunua engine za treni kutoka India miaka Ile Mshana Jr ulikua fomfoo, ikibidi zifungwe mbili ili ziweze kuhimili mzigo.
Bado hatukomi tu.
Food for thought: Mbona sioni gari ndogo za kichina kwenye barabara zetu?
 
Inasemekana baadhi ya BM tatizo ni chassis
Ila hakuna mifano hai kama jiko la gesi
Mjep bado kalikamata Soko tena kwa mikono yote miwili na miguu mitatu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Food for thought: Mbona sioni gari ndogo za kichina kwenye barabara zetu?
 
yote miwili na miguu mitatu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Food for thought: Mbona sioni gari ndogo za kichina kwenye barabara zetu
Unajua miaka ya 70s kurudi nyuma na miaka ya 80s gari za Ulaya zilikuwa nyingi kuliko Mjapan enzi za akina Volkswagen, Peugeot, Landrover

Nafikiri ni suala la muda gari ndogo za Mchina zitaanza kuhit our roads anakuja kwa kasi sana.

Ni kama akina Yutong na wenzake walivyoutoa ufalme wa Scania, Isuzu, Nissan Diesel, Volvo kwenye mabasi na akina FAW na HOWO kwenye trucks

Upande wa gari ndogo za Kichina tunasubiri second hand mana ndio uwezo wetu Wabongo
 
'Doyoda' naye ni Mjapani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ