Nissan Dualis zitajiondoa zenyewe sokoni

Bado kuna jikeshupe atakuja hapa kusema fulani na fulani hapaswi kuongoza nchi wakati madudu yote haya mizizi yake ni chama cha kikomunisti cha lumumba *****!
 
TATIZO KUBWA NA WA KUTUPIWA LAWAMA ni VETA, NIT na DIT na wengineo (Serikali)!! Why?? Miaka ya 60,70 na 80 taasisi zetu za elimu zilikuwa zinaenda na Wakati. Ila ni miaka zaidi ya 20 sasa Taasisi zetu za Elimu na mamlaka za ufundi zimekuwa vipofu na avina ubunifu wa kwenda na wakati😭
1. Mpaka leo Mitaala ya Ufundi magali katika vyuo vetu vyote ni ya mwaka 47!, Veta mpaka miaka ya 2000 awakuwa na mitahala ata ya Computer repair. Ata mitahala ya Jinsi ya kurepea simu za mkononi - baada ya kusaidiwa na wasio wafanyakazi wa VETA ndo kidogo wakaweza anza fundisha. Kule South Africa Makampuni yote ya magari, simu na TV hutoa kwa Vyuo vya ufundi bure sample za product zao na service manuals ili vijana wawe wabobezi kwenye hizo products zao, hapa atuna coordination ata kidogo kwenye taasisi na viwanda husika! TCRA pia walitakiwa kusimamia hili kwenye vifaa vya mawasiliano( Watanzania wengi watakubaliana na mimi kuwa atuna mafundi simu wabobezi hapa nchini 80% ni makanjanja tu- unapeleka simu inawaka fundi anakurudishia aiwaki🀣)Mpaka leo AKUNA CHUO TANZANIA KINA FUNDISHA AUTOMOTIVE electronics- vijana wanajifunza tu umeme magari unaousu jinsi ya kuunga taa na wa kwenye plug system- huyu atawezaje kusoma na kuprogram ECU, ABS systems? Ambazo ni part ya magari yote ya sasa??? Ukweli Vyuo vetu vinazalisha vijana wasio na stadi zinazotakiwa kwa miaka hii na pia mamlaka husika azisimamii majukumu yake. TCRA walikuja na program ya kufundisha &kucertfy mafundi Simu! Wajanja wakapiga hela now imekufa😭 . Magari mbali na kuwaka zikiwa Bara barani , maelfu zipo garage kwa ukosefu wa Technical know how za mafundi wetu!! Tuna mamia ya buses za kichina why azipo njingi kwenye magereji??? Kwa sababu Mchina amemwaga mafundi wabobezi wa hizi bus nchi nzima. Taasisi husika za Serikali kwenye ishu ya technogia zinatakiwa zije na mikakati madhubuti ili kusaidia taifa kuondokana na hizi shida na haibu- waje tuwasaidie kama wanataka msaada
 
Umenikumbusha Nissan Tiida. Salon moja mbovu sana.
 
Si ndio hizi Sonata!?πŸ˜€View attachment 3088302

Mnyama BM mpaka umpindue ama alipuke tu mwenyewe ujue umefanya Kazi kubwa mno.. Lakini DUALIS chap kwa haraka kama kumsukuma tena🀣
BMW ni miongoni mwa gari ambazo Mifumo yake ya umeme na kielectronics ipo so advance- ikiona kuna short circuit aiwaki hivyo kuzuia milipuko- mwaka jana tulipata tatizo na BMW x5 , tukiwa tunaenda nalo Mwanza, kuna fundi baada ya kushindwa kujua jinsi ya kusolve tatizo akaloop wire 🀣. Tulitumia siku tatu kufika Mwanza na hapo Dodoma, Singida na Tabora kupitia gereji kadhaa
 
VETA amkeni!
 

Attachments

  • IMG_4991.jpeg
    603.5 KB · Views: 12
  • IMG_4992.jpeg
    386.4 KB · Views: 12
  • IMG_4993.jpeg
    147.5 KB · Views: 11
  • IMG_4994.jpeg
    169.8 KB · Views: 10
  • IMG_4998.jpeg
    373.8 KB · Views: 10
  • IMG_4995.jpeg
    76.8 KB · Views: 9
  • IMG_5001.jpeg
    267.5 KB · Views: 10
  • IMG_5002.jpeg
    435.2 KB · Views: 11
  • IMG_5003.jpeg
    240.5 KB · Views: 12
Hivi Nissan Fuga naye ana CVT?
Hapana. Ana 5AT RE5R05A

Haisumbui kabisa ila ukiweka oil tofauti na Genuine Nissan Matic-J/S unaiua.

Wameandika kabisa kwenye dipstick using any other oil WILL damage the transmission. Sasa mbongo anaenda kumimina Lubex, gearbox inakufa alafu anasema Nissan mbovu.
 
Tunashukiru kwa ajira zinazotolewa na hizo mamlaka za ukaguzi. Hivi unakagua kitu ambacho hata spare moja huwezi kutengeneza si ubabaishaji tu. HIzo mamlaka hazina tofauti na takukuru. Anyway wako bize na ishu za uchaguzi labda tusubirie majibu 2026
Ni mamlaka za ukaguzi si utengenezaji wa spare. Kaxi hiyo ni ya viwanda (kama vipo)
 
swali kwanini halikuungua huko lilikotoka na limetembe km200000. na hilo kava lije iikuungulie wewe abdala wa maji matitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…