G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na Serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile.
Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema kweli tutaendelea kuwa pamoja na hilo limeshaamuliwa.
Niwapongeze majemedari hawa kwa kuanza na kasi kubwa na tupo pamoja kwa kila jambo.
Tutaendelea kutoa informations muhimu!